Ni Wimbo au Nyimbo?

Ni Wimbo au Nyimbo?

Watu wengi hushindwa kutofautisha neno WIMBO na NYIMBO. Kimsingi neno Wimbo ni umoja na neno Nyimbo ni wingi

Kusema sentensi kama 'Yule ana nyimbo yake kali' ni makosa kisarufi

Chukua hiyo!
 
Ni "watu wengi" sio "watu weni"

Nawewe chukua hiyo!
 
Back
Top Bottom