Ni wimbo gani wa Desemba unaupenda zaidi?

Story Ya Sara na mumewe Toroha, siyo?

Mi nipo hapa nasoma story ya Power Mabula jitu lenye miguvu mingi.

Cc Dr am 4 real PhD
Mumewe alikuwa Simba ulanga, Ila Toroha walijuana na Sarah toka bibiye akiwa zanaki,

Japo Sarah alisema first born wake hajui ni wa Toroha ama jamaa mwingine aliyekutana naye pindi alipoajiriwa bank,

Ila waliobaki ndo wa Simba.
 
Hiyo story nilikuwa siijui, nakumbuka ulinipa link.
 
Mumewe alikuwa Simba ulanga, Ila Toroha walijuana na Sarah toka bibiye akiwa zanaki,

Japo Sarah alisema first born wake hajui ni wa Toroha ama jamaa mwingine aliyekutana naye pindi alipoajiriwa bank,

Ila waliobaki ndo wa Simba.
Upo vizuri 😊 kijana
Huyo mama Simba ulanga ana asili ya shombe shombe..
 
Naupenda ule wa chukuchukuchuku Africa will be.....
 
Back
Top Bottom