sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Sadio Mane kwa sasa anachezea timu ya Al Nassr, Mshahara wake kila wiki ni takribani dola za kimarekani 830,000 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania bilioni mbili kila wiki.
Kwa nchi kama senegal wanafuata sheria za kiislam na kiafrika ambazo zinaruhusu kuanza mahusiano na binti mwenye miaka 16 ila saido alimsubiri afike 18.
Kilichofanyika ni kwamba Mwaka juzi Sadio akiwa na miaka 29 alienda kujitambulisha kwa familia ya huyo binti kipindi ana miaka 16, Akaweka posa wamtunzie huyo binti atamuoa akifika miaka 18, kwa muda huo Sadio alichukua jukumu la kumlipia ada ya shuleni huyo binti, Shule aliyosoma inasemekana ilikuwa ni ya kidini.
Wanawake wengi mitandaoni wamelipukwa kwa hasira wakisema bado binti ni mdogo, Kwamba Sadio angetafuta hata mwanamke mwenye 25