Ni wivu ama wanahoja ya kusikilizwa: Wanawake wamjia juu Mchezaji Sadio Mane (31) baada ya kumuoa binti mdogo miaka 18

Mxxuuu.....😏
Mishangazi ime enea wivu tu, na nina uhakika mwa J wa mbagala lazima atakuwepo katika hao washambuliaji wanao taka kumuambukiza msela uti sugu..😜
 
Bila shaka hao wanawake wanao msema Sadio Mane ni Ma Single Maza, makurumbembe yenye laana, Gono, kisonono, kaswende na UTI sugu.

Sadio Mane kaopoa chombo sealed, mtoto brand new, 0 kilometers.
duuuuuh we jamaa una matusi sijawahi ona wallah,
duh
 
View attachment 2867581

Sadio Mane kwa sasa anachezea timu ya Al Nassr, Mshahara wake kila wiki ni takribani dola za kimarekani 830,000 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania bilioni mbili kila wiki.

Kwa nchi kama senegal wanafuata sheria za kiislam na kiafrika ambazo zinaruhusu kuanza mahusiano na binti mwenye miaka 16 ila saido alimsubiri afike 18.

Kilichofanyika ni kwamba Mwaka juzi Sadio akiwa na miaka 29 alienda kujitambulisha kwa familia ya huyo binti kipindi ana miaka 16, Akaweka posa wamtunzie huyo binti atamuoa akifika miaka 18, kwa muda huo Sadio alichukua jukumu la kumlipia ada ya shuleni huyo binti, Shule aliyosoma inasemekana ilikuwa ni ya kidini.

Wanawake wengi mitandaoni wamelipukwa kwa hasira wakisema bado binti ni mdogo, Kwamba Sadio angetafuta hata mwanamke mwenye 25
Gold diggers wamemind 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani na hela zake zote hizo wanataka anunue gari la mtumba kutoka japani? Hongera sadio kwa kuvuta tesla 0 km
 
Back
Top Bottom