Ni wivu ama wanahoja ya kusikilizwa: Wanawake wamjia juu Mchezaji Sadio Mane (31) baada ya kumuoa binti mdogo miaka 18

Ni wivu ama wanahoja ya kusikilizwa: Wanawake wamjia juu Mchezaji Sadio Mane (31) baada ya kumuoa binti mdogo miaka 18

Noma
1704852449049.jpg
 
View attachment 2867581

Sadio Mane kwa sasa anachezea timu ya Al Nassr, Mshahara wake kila wiki ni takribani dola za kimarekani 830,000 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania bilioni mbili kila wiki.

Kwa mujibu wa taarifa zinasema Sadio Mane amemsomesha huyu binti Tamba (18) kabla ya kumuoa mwaka huu.

Kwa nchi kama senegal wanafuata sheria za kiislam na kiafrika ambazo zinaruhusu kuanza mahusiano na binti mwenye miaka 16, Sadio Mane alimchumbia mapema kwa makubaliano kwamba wataanza mahusiano yao rasmi akimaliza shule, Sadio ndie alikuwa anamlipia ada.

Wanawake wengi mitandaoni wamelipukwa kwa hasira wakisema bado binti ni mdogo, Kwamba Sadio angetafuta hata mwanamke mwenye 25
Miaka 25 mwanamke wa kiafrika tayari mbususu ipo nyang'anyang'a
 
Kwa sasa umri sahihi wa binti kuolewa ni miaka 16-18,maana wanawahi sana kubalehe!binti wa darasa la nne ana tumaziwa na vitako vya kuanzia😲,miaka 50 ijayo mtoto wa miaka 11 atakuwa anaolewa,HADI KINYAAA🥵

UTANDAWAZI ULIKUJA NA MADHARA YAKE.
 
View attachment 2867581

Sadio Mane kwa sasa anachezea timu ya Al Nassr, Mshahara wake kila wiki ni takribani dola za kimarekani 830,000 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania bilioni mbili kila wiki.

Kwa nchi kama senegal wanafuata sheria za kiislam na kiafrika ambazo zinaruhusu kuanza mahusiano na binti mwenye miaka 16 ila saido alimsubiri afike 18.

Kilichofanyika ni kwamba Mwaka juzi Sadio akiwa na miaka 29 alienda kujitambulisha kwa familia ya huyo binti kipindi ana miaka 16, Akaweka posa wamtunzie huyo binti atamuoa akifika miaka 18, kwa muda huo Sadio alichukua jukumu la kumlipia ada ya shuleni huyo binti, Shule aliyosoma inasemekana ilikuwa ni ya kidini.

Wanawake wengi mitandaoni wamelipukwa kwa hasira wakisema bado binti ni mdogo, Kwamba Sadio angetafuta hata mwanamke mwenye 25
Jamaa kaopoa namba E za mbele kabisa 😀
 
Mpaka amefikia kuoa means amemkubali kwa yote.

Huyo binti wa miaka 18 kumbuka sio wa huku kwetu Mbande tunakula ugali na mlenda.
Dada yangu unazunguzia mbande kisewe au mbande rufu au mbande kigamboni 😁😂🤣 mitaa ya wazaramo hiyo 😁😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom