Ni wivu au kushindwa kujiamini?

Bila wivu atajuaje kama nampenda?

Du, babu umenikumbusha mbali hiyo phrase... Wivu, wivu ni ugonjwa jamani, wivu juu ya mume wangu utanikondesha....talalala lala... Hospitali ya wivu sijaijua eeh jamani, ningekwenda siku moja nikatibiweee.... wimbo unaendelea hapo halafu baadae mtu aanaitikia... bila wivu atajuaje kama kweli nampenda aaah jama... Du sijui nilikuwa na miaka mingapi huu wimbo... in those days nyimbo zilikuwa na maeaning kweli kweli... Back to the topic plse!
 
mmh huuu kweli ni wivu duh
 
Wivu ni kama the use of lemon in fried fish,aha!ikizidi,inaeza ikawa chungu..so its important kwa kiasi.
 

ni ujinga tu. Akipenda kumega/kumegwa atafanya tu. Kwa nini uumize roho?
 
'Mimi ndo bwana Mungu wako,usiabudu miungu mingine' that caps it all!
 
heheheh ok sawa..... but what is limbwata?? au ni ile inayoitwa tangawizi??
Chai ya leo sijui nimewekewa limbwata sijawahi kunywa chai nyingi kiasi hiki tena mapema asubuhi hii yaani niko kikombe cha 7 sasa
 
heheheh ok sawa..... but what is limbwata?? au ni ile inayoitwa tangawizi??

Halafu chai ya leo nimewekewa hiyo kitu sasa sijui ndio tayari ngoja nione hadi jioni kama kutakuwa na mabadiliko katika mwili wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…