Mkare
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 504
- 79
Bila wivu atajuaje kama nampenda?
Du, babu umenikumbusha mbali hiyo phrase... Wivu, wivu ni ugonjwa jamani, wivu juu ya mume wangu utanikondesha....talalala lala... Hospitali ya wivu sijaijua eeh jamani, ningekwenda siku moja nikatibiweee.... wimbo unaendelea hapo halafu baadae mtu aanaitikia... bila wivu atajuaje kama kweli nampenda aaah jama... Du sijui nilikuwa na miaka mingapi huu wimbo... in those days nyimbo zilikuwa na maeaning kweli kweli... Back to the topic plse!