William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki.
Huyu kocha hajawahi kuongoza timu yoyote ile kwa miaka miwili mfululizo. Anaishiaga nusu msimu.
Viongozi wanaweka siri ili watu wakute tu immo. Kaongoza timu nyingi miezi 4-6. Wanajua hatadumu na watagawana mawe kwenye kuvunja mkataba.
Far Rabat kamaliza nayo tu msimu kutokea katikati wakamtimua.
Bora timu Apewe mzawa kama Morroco, Mgunda au Baba Ester. Tujifunze kwa mamelode. Pistol au Ibenge kwa wakongo.