William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
AaaaahaaaBonge moja la kocha ,timu ikizidiwa anaingia mwenyewe uwanjani.
Kama Ruud Guilty au ? 😅😆🤣Bonge moja la kocha ,timu ikizidiwa anaingia mwenyewe uwanjani.
Si nilisikia Rage anaenda Mahakamani?View attachment 2819920
Mi bado najiuliza inamaana Hawa uto wameshapata ruhusa ya kuweka mabango yao hadi huku Zanzibar?
Hii kitu haikubaliki wanasimba wenzangu 😭
Yanga ifike hatua tuoneane huruma imetosha sasaSi nilisikia Rage anaenda Mahakamani?
Point ya maana sana hii.Hakuna kocha mzungu anayeweza kuivusha Simba ilipo kwa sasa
Hakuna kocha mzungu anayeweza kuivusha Simba ilipo kwa sasa
Kwani wametoa taarifa rasmi? Sema kweli makocha kama wanne waliopita simba wana viwango duni, naamini kuna upigaji mkubwa kwenye utafutaji wa makocha na wanafanya makusudi ili wakiharibu watimuliwe ili warudi tena kusajili fasta wapige hela.Simba nayo haijielewi. Mzungu wa Nini Tena. Walimtoa Mgunda wakaleta huyo Robertinho kisa mzungu, mwisho wa siku wakamtimua. Viongozi wa Simba wafanye maamuzi kwa akili .
Kwenye soka hakuna uzee!! Ukizeeka ndo busara ya ukocha inazidi kuongezeka!! Inaendelea hivyo hadi nguvu za kutembea ziishe!!Kwani wametoa taarifa rasmi? Sema kweli makocha kama wanne waliopita simba wana viwango duni, naamini kuna upigaji mkubwa kwenye utafutaji wa makocha na wanafanya makusudi ili wakiharibu watimuliwe ili warudi tena kusajili fasta wapige hela.
Mfano,
1. Pablo alikuwa wa hovyo
2.Zoran Maki wa hovyo
3.Robetinho naye hivvo hivo
Halafu wanaleta wazee waliochoka