Sheikh hii dini Mimi naisoma tangu 1997,nimesomeshwa Kisha nikaisoma na naendelea kuisoma,mtume saw,swahaba,tabiina,tabii tabiina...vizazi vingapi hivyo!?..hapo mambo yapo oral tu mpaka bukhari na Muslim walipocompile!!.. narration yenyewe ni utapeli tu,kwamba imepokewa kutoka kwa a,kwamba b alimsikia c akisema kuwa mtume wa Allah alisema desh desh,halafu unaifanya fatwa!!!..?..Hadith ndo zinasema mzinzi mwanandoa auawe,mlevi apgwe bakora,mtoto wako wa nje ya ndoa unaweza oa,mtu akiritadi auawe,nabii ISSA atarudi,mwanamke akiwa hedhi hatakiwi kufunga,haya yote kwenye Qur'an hayapo!!..so bukhari na Muslim ndiyo Qur'an yenu