Ni yapi madhambi makubwa?

Ni yapi madhambi makubwa?

Naomba nikurekebishe kidogo hapo kwani maulamaa wamekubaliana kuwa kama utakufa kwa huo moshi yaani upate cancer kwa ajili ya sigara au maradhi yaliyosababisha na sigara na ukafa
Adhabu yake ni kubwa kama umejiuwa

Wameliongelea sana hili na pia ni israf kwa maana matumizi mabaya ya pesa
Kwa mantiki hiyo hata Sukari na vitu vyenye Sukari hatutakiwi kutumia
 
Kwa mantiki hiyo hata Sukari na vitu vyenye Sukari hatutakiwi kutumia
Hapo sasa unachanganya sana
Sigara sio kitu cha muhimu kwa binadamu bali ni starehe ndio maana huoni baba anakuja na paketi anawagawia wote nyumbani mpaka watoto [emoji1]

Ila Sukari ni kiungo shehe
Ni sawa na pombe huwezi kusema ukitumia kwa kuungia mboga ni halali
 
Lakini Sukari ni silent killer sidhani kama madhara yake yanapishana sana na sigara,

Ndio maana wakasema Sigara inakaraisha Watu ile mimoshi na pengine harufu lakini ukasema uharamu unakuja pale madhara ya sigara yanapotokea mfano Kansa ndio maana nikauliza vipi kuhusu Sukari? Sababu na yenyewe ina madhara ya moja kwa moja
 
Kuvuta sigara sio dhambi ila ni makhuruh yaan ni karaha unawakaraisha wengine na zaidi ni hatari kwa afya yako... Udi na Ubani havina shida yoyote pia sijawahi kusikia Mtu anavuta Udi/Ubani
Unajua maana ya makruh?

Na vipi utatumia kitu ambacho ni hatari kwa afaya yako?
 
Sidhani kama dhambi zote ni sawa in normal sense

Mtu aliyebaka mama yake Kisha akamchinja na mtu aliyevunja kioo kwa makusudi Kisha akakimbia

Kuna dhambi ni ngumu kuliko nyenzake tuache kufarijiana humu
 
Lakini Sukari ni silent killer sidhani kama madhara yake yanapishana sana na sigara,

Ndio maana wakasema Sigara inakaraisha Watu ile mimoshi na pengine harufu lakini ukasema uharamu unakuja pale madhara ya sigara yanapotokea mfano Kansa ndio maana nikauliza vipi kuhusu Sukari? Sababu na yenyewe ina madhara ya moja kwa moja
Kweli kabisa
 
Sheikh hii dini Mimi naisoma tangu 1997,nimesomeshwa Kisha nikaisoma na naendelea kuisoma,mtume saw,swahaba,tabiina,tabii tabiina...vizazi vingapi hivyo!?..hapo mambo yapo oral tu mpaka bukhari na Muslim walipocompile!!.. narration yenyewe ni utapeli tu,kwamba imepokewa kutoka kwa a,kwamba b alimsikia c akisema kuwa mtume wa Allah alisema desh desh,halafu unaifanya fatwa!!!..?..Hadith ndo zinasema mzinzi mwanandoa auawe,mlevi apgwe bakora,mtoto wako wa nje ya ndoa unaweza oa,mtu akiritadi auawe,nabii ISSA atarudi,mwanamke akiwa hedhi hatakiwi kufunga,haya yote kwenye Qur'an hayapo!!..so bukhari na Muslim ndiyo Qur'an yenu
So bila shaka, wewe ni quraaniyyuun si ndio?.
 
Sidhani kama dhambi zote ni sawa in normal sense

Mtu aliyebaka mama yake Kisha akamchinja na mtu aliyevunja kioo kwa makusudi Kisha akakimbia

Kuna dhambi ni ngumu kuliko nyenzake tuache kufarijiana humu
Kuna dhambi kubwa na ndogo
 
We unakojoa tu Kama kondoo!!
Ndio na hakijawa kitu. Nina afya njema kuliko wewe, nomefanikiwa kuliko wewe, Nina huruma, utu na ubinaadamu kuliko wewe na nipo karibu na Mungu kuliko wewe. Wewe endelea kukojoa kwa mawe utarajie kwenda mbinguni
 
Hata ukitembea na kinyesi utakua tu na afya kuliko Mimi,utakua umefanikiwa kuliko Mimi,utakua na huruma kuliko Mimi...na utakua karibu na mungu wako kuliko mimi
 
Hata ukitembea na kinyesi utakua tu na afya kuliko Mimi,utakua umefanikiwa kuliko Mimi,utakua na huruma kuliko Mimi...na utakua karibu na mungu wako kuliko mimi
Nani aliwadanganya kuwa kinyesi ni dhambi? Tatizo la kufuata mafundisho ya mtu ambaye hakusoma na tafsiri yake inakuwa ya kienyeji enyeji.
 
Nani aliwadanganya kuwa kinyesi ni dhambi? Tatizo la kufuata mafundisho ya mtu ambaye hakusoma na tafsiri yake inakuwa ya kienyeji enyeji.
Nani kasema kinyesi ni dhambi!?..we msomi wa chuo kikuu ndivyo uelewa wako ulivyo!?
 
Wewe una viashiria ukafiri ,,Aya zimekuja nyingi zinazoamrisha kumtii Allah na mtume wake,,ama kusema Mimi naifuata Quran na hadithi sizitaki huo ni ukafiri,,..
Abubakr,Omar ,Othman na Ali ndio vipenzi vya mtume vya Karibu kabisa kwa maana wao ndio wa Mwanzo kuukubali uislamu,,

Huo uislamu mnaousimika nyinyi mashia Bila Maswahaba Ni Ubatili mtupu..
Muislamu yeyote atakayesema binadamu wa kale (before Christ) walikua waislamu nitakuonyesha hii comment.
 
Hebu fafanua maana ya mtumwa kumkimbia bwana wake.allah anaruhusu utumwa??????
 
Uko outdated,google authenticity of bukhari and Muslim,Kisha fuatilia mijadala,ni Kama suala la kufunga mwezi kwa kuuona au uandame popote lilivyoanza kwa hapa tz,lilianza 1980s,Leo ndiyo lipo hadhiri,miaka 50 mbele bukhari na Muslim au source ya Hadith ya dhehebu lolote lile litakua na wapingaji wengi
Watu wa bid'aa mna tabu sana tena sanaaa
 
Watu wa bid'aa mna tabu sana tena sanaaa
Bidaa ni wewe na wenzio mnaozua mambo kwenye dini,ya kuvaa njiwa,kufunga ndevu,kuvaa niqab na kuyafanya faradhi kwamba atayeenda kinyume na hivyo motoni..na Wala Qur'an isiseme
 
Kuvuta sigara sio dhambi ila ni makhuruh yaan ni karaha unawakaraisha wengine na zaidi ni hatari kwa afya yako... Udi na Ubani havina shida yoyote pia sijawahi kusikia Mtu anavuta Udi/Ubani
kasome surat baqarah ayah ya 195
 
Back
Top Bottom