Mimi nauza sigara dukani kwangu.niache au niendelee?Basi sawa ila angalia huo mlango wa kuwatukana maswahaba Ni wawaovu,,,muumini hawezi kuita hadithi za mtume kuwa hekaya za Abu Hurarayah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nauza sigara dukani kwangu.niache au niendelee?Basi sawa ila angalia huo mlango wa kuwatukana maswahaba Ni wawaovu,,,muumini hawezi kuita hadithi za mtume kuwa hekaya za Abu Hurarayah
Hukumu na Fatwah zilishatolewa ,,Sigara na makuruhu na Ni haramu kwa kuwa inapelekea dhara kwa mtumiaji na hata asiyetumia japo yupo Karibu na mtumiajiMimi nauza sigara dukani kwangu.niache au niendelee?
Huwezi linganisha mwizi,mchawi na mzinzi dhambi zinatofautianaall sins are the same before the eyes of God. God does not judge you if you commit sin. Because he knows its not you but the devil's nature in you.
kwahio niache mkuu?.mana sipendi chumo haramu.Hukumu na Fatwah zilishatolewa ,,Sigara na makuruhu na Ni haramu kwa kuwa inapelekea dhara kwa mtumiaji na hata asiyetumia japo yupo Karibu na mtumiaji
Ummar alipiga marufuku hadithi kuandika,zikaja kusanywa miaka 200 baada ya kifo Cha mtume saw na waajemi wawili,bukhari na Muslim,ummar aliogopa Qur'an itatupwa Hadith zikiandikwa,na ndicho kilichopo Sasa,Abu hurayra kasilimu miaka mitatu kabla ya kifo Cha mtume saw,lakini ana Hadith zaidi ya elfu 3000,ummar na Abu bakri Wana Hadith ngapi uzijuazo!?..bilal bin rabah ushaona Hadith yake!?..ukiondoa Hadith waislam hawatokua na madhehebuBasi sawa ila angalia huo mlango wa kuwatukana maswahaba Ni wawaovu,,,muumini hawezi kuita hadithi za mtume kuwa hekaya za Abu Hurayrah
Allah hakuweka adhabu ya mleviKwa hio mkuu hapo walevi watakua wameonewa au wamependelewa?!
Kwa hio mlevi hana dhambi?!Allah hakuweka adhabu ya mlevi
Acha Kaka ,,Mimi wamenibana Sana wateja lkn huwa nawaambia nitaweka,,yaan kifungua ofs mteja wa kwanza Ni mvutaji sigarakwahio niache mkuu?.mana sipendi chumo haramu.
Sukari,mafuta,chumvi navyo vina madhara,vipi navyo Haram!?Hukumu na Fatwah zilishatolewa ,,Sigara na makuruhu na Ni haramu kwa kuwa inapelekea dhara kwa mtumiaji na hata asiyetumia japo yupo Karibu na mtumiaji
Ana dhambi Ila hukumu ya sisi binaadam wenzie juu yake Allah sw hakuweka,Kama zilivyo dhambi za usengenyi,kusema uwongo nk hizo mtu atakutana na hukumu zake alheraKwa hio mlevi hana dhambi?!
Usiharibu Uzi kijana,,hivyo ulivyovitaja vishaelezwa kuwa tutumie kwa kiasiSukari,mafuta,chumvi navyo vina madhara,vipi navyo Haram!?
Kwa hio mlevi asipigwe bakora 80 kwa dhambi ya ulevi sababu Allah sw hakuweka hio adhabu kwa ajili ya kuadhibiwa mlevi?! Kwa hio yaan mlevi aendelee kunywa tungi kwanza ila adhabu yake ya mijeredi ataikuta siku ya hukumu?!Ana dhambi Ila hukumu ya sisi binaadam wenzie juu yake Allah sw hakuweka,Kama zilivyo dhambi za usengenyi,kusema uwongo nk hizo mtu atakutana na hukumu zake alhera
Mh kuna ma dhambi yamezidi ukubwa hata kwa akili ya kawaida, unataka kusema mbakaji na mmbea makosa yao yanalingana maumivu yake??? Maana yote ni dhambiDhambi ni dhambi tu hakuna dhambi kubwa wala ndogo.
Akhy na ikhlas nawaiteni huku ndugu zangu...Ummar alipiga marufuku hadithi kuandika,zikaja kusanywa miaka 200 baada ya kifo Cha mtume saw na waajemi wawili,bukhari na Muslim,ummar aliogopa Qur'an itatupwa Hadith zikiandikwa,na ndicho kilichopo Sasa,Abu hurayra kasilimu miaka mitatu kabla ya kifo Cha mtume saw,lakini ana Hadith zaidi ya elfu 3000,ummar na Abu bakri Wana Hadith ngapi uzijuazo!?..bilal bin rabah ushaona Hadith yake!?..ukiondoa Hadith waislam hawatokua na madhehebu
Unaona ajabu!!..dhulma,ulevi,usengenyi,ulozi,uwongo malipo atakutana nayoKwa hio mlevi asipigwe bakora 80 kwa dhambi ya ulevi sababu Allah sw hakuweka hio adhabu kwa ajili ya kuadhibiwa mlevi?! Kwa hio yaan mlevi aendelee kunywa tungi kwanza ila adhabu yake ya mijeredi ataikuta siku ya hukumu?!
Vina madhara au havina!?..naharibu Uzi kivipi!?Usiharibu Uzi kijana,,hivyo ulivyovitaja vishaelezwa kuwa tutumie kwa kiasi