Ni yapi madhambi makubwa?

Ni yapi madhambi makubwa?

Basi sawa ila angalia huo mlango wa kuwatukana maswahaba Ni wawaovu,,,muumini hawezi kuita hadithi za mtume kuwa hekaya za Abu Hurarayah
Mimi nauza sigara dukani kwangu.niache au niendelee?
 
Hukumu na Fatwah zilishatolewa ,,Sigara na makuruhu na Ni haramu kwa kuwa inapelekea dhara kwa mtumiaji na hata asiyetumia japo yupo Karibu na mtumiaji
 
Basi sawa ila angalia huo mlango wa kuwatukana maswahaba Ni wawaovu,,,muumini hawezi kuita hadithi za mtume kuwa hekaya za Abu Hurayrah
Ummar alipiga marufuku hadithi kuandika,zikaja kusanywa miaka 200 baada ya kifo Cha mtume saw na waajemi wawili,bukhari na Muslim,ummar aliogopa Qur'an itatupwa Hadith zikiandikwa,na ndicho kilichopo Sasa,Abu hurayra kasilimu miaka mitatu kabla ya kifo Cha mtume saw,lakini ana Hadith zaidi ya elfu 3000,ummar na Abu bakri Wana Hadith ngapi uzijuazo!?..bilal bin rabah ushaona Hadith yake!?..ukiondoa Hadith waislam hawatokua na madhehebu
 
Hukumu na Fatwah zilishatolewa ,,Sigara na makuruhu na Ni haramu kwa kuwa inapelekea dhara kwa mtumiaji na hata asiyetumia japo yupo Karibu na mtumiaji
Sukari,mafuta,chumvi navyo vina madhara,vipi navyo Haram!?
 
Ana dhambi Ila hukumu ya sisi binaadam wenzie juu yake Allah sw hakuweka,Kama zilivyo dhambi za usengenyi,kusema uwongo nk hizo mtu atakutana na hukumu zake alhera
Kwa hio mlevi asipigwe bakora 80 kwa dhambi ya ulevi sababu Allah sw hakuweka hio adhabu kwa ajili ya kuadhibiwa mlevi?! Kwa hio yaan mlevi aendelee kunywa tungi kwanza ila adhabu yake ya mijeredi ataikuta siku ya hukumu?!
 
Sasa mbona vyote umemeliza? Ina maana kila kitu ni dhambi sasa.
 
Ummar alipiga marufuku hadithi kuandika,zikaja kusanywa miaka 200 baada ya kifo Cha mtume saw na waajemi wawili,bukhari na Muslim,ummar aliogopa Qur'an itatupwa Hadith zikiandikwa,na ndicho kilichopo Sasa,Abu hurayra kasilimu miaka mitatu kabla ya kifo Cha mtume saw,lakini ana Hadith zaidi ya elfu 3000,ummar na Abu bakri Wana Hadith ngapi uzijuazo!?..bilal bin rabah ushaona Hadith yake!?..ukiondoa Hadith waislam hawatokua na madhehebu
Akhy na ikhlas nawaiteni huku ndugu zangu...
 
Kwa hio mlevi asipigwe bakora 80 kwa dhambi ya ulevi sababu Allah sw hakuweka hio adhabu kwa ajili ya kuadhibiwa mlevi?! Kwa hio yaan mlevi aendelee kunywa tungi kwanza ila adhabu yake ya mijeredi ataikuta siku ya hukumu?!
Unaona ajabu!!..dhulma,ulevi,usengenyi,ulozi,uwongo malipo atakutana nayo
 
Back
Top Bottom