Ni yapi madhambi makubwa?

Huijui Quran hata kdg
 
Mkuu zote nimetumia sana na ninamshukuru Mungu sijapata madhara na nimejipima sana

Sigara nimevuta miaka 40 nimeacha na Sukari natumia vijiko 3 kwenye kikombe miaka mingi sana
Umri ni mzee sasa
Sawa huyo ni wewe lakini tunaona Sukari inavyomaliza Watoto Meno na wakubwa wanavyoteseka hadi kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…