Ni yapi madhambi makubwa?

Ni yapi madhambi makubwa?

all sins are the same before the eyes of God. God does not judge you if you commit sin. Because he knows its not you but the devil's nature in you.
Na ndio maana we sincerely repent, pia sikatai wewe kuamini unacho kiamini
 
Dhambi zote ni sawa kwa mantiki kwamba adhabu za dhambi hizo ni moja

Ila tunaposema dhambi hii ni kubwa na ile ni ndogo ni kwa mantiki kwamba "matokeo ya hiyo dhambi" ni makubwa au madogo mfano, ukiua matokea ya hiyo dhambi ni makubwa(huenda alieuawa ni mzazi na amaeacha watoto waliokua wanamtegemea) kuliko mtu aliesema uongo
 
Sio wote wenye access nalo, kwani hupendi kukumbushwa yenye faida ?
Sijaona kuteta,maana Allah sw kafananisha na kula nyama ya ndugu yako aliyekufa,bakora 80 kwa mlevi siyo hukumu ya Allah sw,kuvaa nguo kuvuka enka haikuharamishwa katika Qur'an,kumshirikisha Allah sw na kuua ni dhambi kubwa sana
 
C
Asante sana mkuu kwa mimi nilivyoelewa katika hizo dhambi kubwa 70 mbele za Allah, sijaona ikionyesha km kuvuta Moshi ni dhambi yaan dhambi ya kuvuta Moshi wa Ubani au Udi au Moshi wa Sigara hio dhambi sijaiona mkuu, kwa hio ni kwamba kuvuta Moshi sio dhambi au?!
Chchote kinachodhuru mwili wako unashauriwa kukiacha, (makruhu( mfano sigara hudhuru mapafu yako
 
Sijaona kuteta,maana Allah sw kafananisha na kula nyama ya ndugu yako aliyekufa,bakora 80 kwa mlevi siyo hukumu ya Allah sw,kuvaa nguo kuvuka enka haikuharamishwa katika Qur'an,kumshirikisha Allah sw na kuua ni dhambi kubwa sana
Hiyo ni kusengenya ameitaja mkuu

Na kuhusu kuvaa nguo Chini ya viwiko vya mguu kuna hitilafu kidogo kutoka Kwa wanazuoni

Kuna hadith imepokewa kuwa Mtume (s.a.w) alikemea kuburuza nguo Chini Kwa kiburi, na kama unavyojua hii huweza kusababisha nguo ikaingia najisi na ikawa si tohara kwa kuswali.

Sasa kutokana na kutofautiana na uelewa wengine wanasema ikipita Chini ya vifundo ni mtihani na wengine hakuna ubaya,kubwa ni kutoburuza nguo Chini katika ardhi
 
Na ndio maana we sincerely repent, pia sikatai wewe kuamini unacho kiamini
That doesnt work because most people end up doing the same vice again. Once you realize that the sin is not the problem but the result of the problem you will start dealing with the problem and you will lack the ability to commit the sin ever again.
 
No 41 ni dhambi gani hiyo?

Hiyo inaitwa Qadar ni itikadi kwamba Hakika kheri na Shari zote zinatoka Kwa Allah

Katika Imani ya kiislamu miongoni mwa nguzo za imani mojawapo ni kuamini kuwa hakika kheri inayomfikia mtu inatoka kwa Allah na Shari au mabalaa yanayo mfikia mtu hutoka kwa Allah.

Na mabalaa mengi ambayo hutupata ni kutokana na vitendo vya mikono yetu wenyewe kwahiyo Allah hutupa adhabu kubwa na hafifu hapa duniani ili tukumbuke makosa yetu na kurejea kwake na kutubu.

Mfano unafikiri haya mambo ya sodoma na Gomora ambayo yanaendelea mpaka Leo unafikiri Allah anayapenda?

Matokeo yake anaweza kutuletea sunami na ukame na vimbunga kama adhabu kwetu kutokana na dhambi na maovu tunayofanya
 
Back
Top Bottom