Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

Umenikumbusha kisa Cha trafik mmoja alikua anasumbua Sana katikati ya jiji. Kila siku yupo tu Hana off huku anapiga pesa. Basi ukijua matawi wenzio wanajua mizizi. Kuna mgahawa mmoja alikua anapata lunch ya nguvu kila siku. Siku hiyo akaenda lunch na kuagiza biriani (si pesa anayo) watoto wa mjini wakamuwekea Ile dawa ya MTU asiyepata choo Ile MTU aharishe kufungua tumbo. Walimuwekea double doze. Nusu saa nyingi trafik akawa anatafuta choo. Dar vyoo Ni vya kutafuta Sana, mpaka alipopata choo kilipo suruali nyeupe aliyovaa ilikua haifai, dogo Alisha jiharishia. Basi kangia chhooni kujifuta futa, alipotoka alikodi taxi faster na ikawa mwisho kuonekana kwenye kile kijiwe.
 
Uchawi huu. Trafiki kosa lake ni nini? Mnamkomoa na kumdhalilisha ili mpate nini? Kesho yake mapema tu angeenda kuushitaki huo mgahawa
 
Nina mpango wa kutibu kipara, ngoja nisubiri maoni ya wadau
Huu mpango hata mi nnao. Kupambana na upara

Tunajua ni ngumu mtu kushirikisha matokeo ya utafiti, ila kwa ujio wa AI na mambo mengine seamless information sharing inatakiwa.

Madhara ya dawa zilizopo za kupunguza upara ni kupunguza pia nguvu za kiume kama side effect hasa ile ya kumeza nimesahau jina.

Basi kwa wewe mtafiti mtukutu pamoja na Bujibuji Simba Nyamaume mnaweza faidika kwa kusoma nilipoishia kwenye literature review hii
 
Transplant hapo Nairobi bei ya chini ni Milioni 7 halafu unaambiwa uhakika si kwa 100%....
UWARAZA ovyo sana, yaani ukiacha na midevu unapewa Shikamoo mpaka na waliokuzidi umri...
Weweee, kumbe ni M7plus kabisa !!!, nlikuwa najidanganya ni kama around 2M tu.

Duuuh basi kweli atakayeipata dawa atakuwa kweli tajiri.
 
Kama vipi hivyo?
Tujitahid kutembelea website za mamlaka zetu zenye dhamana na udhibiti wa bidhaa husika kama TBS..nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo nmewah kuona wameweka orodha ya vipodozi vilivyopigwa marufuku..ni vingi tu vimetajwa pale..kuna orodha ilotaja vipodozi vyenyewe vyenyewe (sabuni,lotion etc) orodha nyingine imetaja baadhi ya viambata (ingredients) zenye madhara...ww kama mtumiaji wa mwisho ni vizuri ukazifaham ili kabla ya kununua uweze kujiridhisha...
Though sijatembelea website yao recently...
 
TBS wana orodha ya vipodozi vyote duniani?
 
TBS wana orodha ya vipodozi vyote duniani?
Ww unatumia vipodozi vyote duniani? Ebu tamani kujua usalama wa vipodozi hata vichache vinavyokuzunguka kwanza ambavyo unatumia ww na wapendwa wako.
Wenyewe wanadhibiti vinavyozalishwa nchini..na vile vinavyotoka nje ya nchi kwa kuvisajili na kukagua kila vinapopita mipakani...Nisaidieni kuwatag wenye mamlaka yao plz
 
Rafiki yangu mmoja baada ya kujifungua akaanza kuneneopa. Sasa akaona atafute vidonge vya kuoondoa mafuta. Akaharisha nusu ya kufa, akazimia kwa siku 3
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji847][emoji847][emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbavu zangu mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…