Umenikumbusha kisa Cha trafik mmoja alikua anasumbua Sana katikati ya jiji. Kila siku yupo tu Hana off huku anapiga pesa. Basi ukijua matawi wenzio wanajua mizizi. Kuna mgahawa mmoja alikua anapata lunch ya nguvu kila siku. Siku hiyo akaenda lunch na kuagiza biriani (si pesa anayo) watoto wa mjini wakamuwekea Ile dawa ya MTU asiyepata choo Ile MTU aharishe kufungua tumbo. Walimuwekea double doze. Nusu saa nyingi trafik akawa anatafuta choo. Dar vyoo Ni vya kutafuta Sana, mpaka alipopata choo kilipo suruali nyeupe aliyovaa ilikua haifai, dogo Alisha jiharishia. Basi kangia chhooni kujifuta futa, alipotoka alikodi taxi faster na ikawa mwisho kuonekana kwenye kile kijiwe.wadiz ,
Pia nina jamaa yangu mwingine alikuwa anafanya kazi ya kuendesha folklift bandari I, basi akaona mzigo wa vitu kama maziwa ya unga, njaa imemchakaza kisawasawa, akaona heri ayaoonje hayo, yalikuwa ni matamu, yenye ladha tamu yenye chumvichumvi.
Baada ya muda mfupi uume ukamsimama unachuruzika tu mchuzi, mabao yanaruka kama bomba la Ruvu chini.
Kalowa overall limejaa mijimbegu ya kiume ambayo amejimwagia. Kamwagq hadi kaishiwa nguvu yuko hoi bin taaban.
Kumbe alichokuwa amekula ni kemikali kwa ajili ya madume ya ng'ombe wa mbegu.