Ondoa upumbavu wa UTOPOLO hapa. Soka la kiafrica likoje. Mafanikio ya Europe ufananishe na Africa!?Huyu kocha hana uzoefu wa soka la Afrika. Mapema Sana atafukuzwa Mwezi wa 12 tu baada ya mechi mbili tu
Acha makasiriko wewe KOLO. Jibu swali ameshinda makombe Yapi na Yapi. Kocha bora hupimwa kwa mafanikio sio kwa wingi wa vilabu alivyofundisha.Ondoa upumbavu wa UTOPOLO hapa. Soka la kiafrica likoje. Mafanikio ya Europe ufananishe na Africa!?
Stupid UTOPOLO.
PovuAcha makasiriko wewe KOLO. jibu swali ameshinda makombe Yapi na Yapi. Kocha bora hupimwa kwa mafinikio sio kwa wingi wa vilabu alivyofundisha.
Sven kabla ya kuja simba alikuwa kocha wa Taifa Cameroon na ZambiaHata Sven alivyokuja mlikuwa na Porojo kama hizi....
Uzoefu wa soka la Afrika, wakati huohuo kumbe la dunia mnaingia (waafrika), mnaishia kubondwa tu. Ukiachana na ujinga wa nje ya uwanja soka la Afrika lina kipi cha ziada?Huyu kocha hana uzoefu wa soka la Afrika. Mapema Sana atafukuzwa Mwezi wa 12 tu baada ya mechi mbili tu
Soka la Afrika lina kipi cha ziada? Achilia mbali upumbavu wa nje ya uwanja.Sven kabla ya kuja simba alikuwa kocha wa Taifa Cameroon na zambia
Enhee mkasemaje....Sven kabla ya kuja simba alikuwa kocha wa Taifa Cameroon na zambia
Tuonyesha kwanza kombe mliloshinda nyinyi ndani ya hii miaka minne, ili tukuonyeshe kombe aliloshinda.Mnaacha kujibu swali mnabaki kutukana na kuropoka ropoka hapa.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mseme amewahi kushinda KOMBE lipi na lipi