Ni yapi mafanikio ya kocha mpya wa Simba?

Ni yapi mafanikio ya kocha mpya wa Simba?

Pweza Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
1,395
Reaction score
3,177
Naomba kujua mafanikio ya kocha mpya wa simba.... Ameshinda mataji GANI na GANI.

Kusema amefundisha sijui Real Madrid hata Cedric Kaze amepiga Barcelona na Bayern Munich kote amefanya Kazi, achilia Mbali Papaa Mwinyi Zahera aliyefundisha huko France.

Nikiangalia mwaka aliopita Madrid kama assistant Coach, Waliambulia kikombe kimoja tu.


Screenshot_20211106-205731.jpg
 
Magori na Barbara wanazidi kuwaingiza Simba machakani
 
Huyu kocha hana uzoefu wa soka la Afrika. Mapema Sana atafukuzwa Mwezi wa 12 tu baada ya mechi mbili tu
Uzoefu wa soka la Afrika, wakati huohuo kumbe la dunia mnaingia (waafrika), mnaishia kubondwa tu. Ukiachana na ujinga wa nje ya uwanja soka la Afrika lina kipi cha ziada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaacha kujibu swali mnabaki kutukana na kuropoka ropoka hapa.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mseme amewahi kushinda KOMBE lipi na lipi
 
Kelele za nini mitopolo? Ni inda tu. Soccer la Middle East ni sawa la North Africa.
 
Mnaacha kujibu swali mnabaki kutukana na kuropoka ropoka hapa.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mseme amewahi kushinda KOMBE lipi na lipi
Tuonyesha kwanza kombe mliloshinda nyinyi ndani ya hii miaka minne, ili tukuonyeshe kombe aliloshinda.

Huyo kocha wenu mbona alitimuliwa Merrekh kama kweli kinacho-matter ni uzoefu wa soka la africa? Uzoefu wake ulisaidia nini? Unadai kombe[emoji23], nyinyi kawapa kombe gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom