Pweza Boy
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,395
- 3,177
Naomba kujua mafanikio ya kocha mpya wa simba.... Ameshinda mataji GANI na GANI.
Kusema amefundisha sijui Real Madrid hata Cedric Kaze amepiga Barcelona na Bayern Munich kote amefanya Kazi, achilia Mbali Papaa Mwinyi Zahera aliyefundisha huko France.
Nikiangalia mwaka aliopita Madrid kama assistant Coach, Waliambulia kikombe kimoja tu.