Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Wakubwa habari ya nyie, naaamini mko poa sana
Nikiwa katika harakati za kuombea mtu kazi huko Uhamiaji, nikakutana na hii post
Database Administrator (MSSMS, PostgreSQL and Oracle).
Kibongo bongo sijawai ona hii course ila nikahisi itakua part ya Data science.
Swali langu ni yapi majukumu yake, na ikiwa mtu ana ufahamu na hizo technology tatu je anaweza kujiita database Administrator na ku apply popote ambapo pana hiyo heading....!?.
Ni skills zipi ambazo ni must have ili uwe database administrator....!?