Ni yapi majukumu ya Database Administrator...!?

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2020
Posts
1,611
Reaction score
2,881
Wakubwa habari ya nyie, naaamini mko poa sana
Nikiwa katika harakati za kuombea mtu kazi huko Uhamiaji, nikakutana na hii post

Database Administrator (MSSMS, PostgreSQL and Oracle).
Kibongo bongo sijawai ona hii course ila nikahisi itakua part ya Data science.

Swali langu ni yapi majukumu yake, na ikiwa mtu ana ufahamu na hizo technology tatu je anaweza kujiita database Administrator na ku apply popote ambapo pana hiyo heading....!?.

Ni skills zipi ambazo ni must have ili uwe database administrator....!?
 
DBA Is responsible for maintaining, securing, and operating databases and also ensures that data is correctly stored and retrieved.
DBAs often work with developers to design and implement new features and troubleshoot any issues. A DBA must have a strong understanding of both technical and business needs.

Ila kwa nini usingemuuliza zaidi huyo unayemuombea ili upate picha halisi kama utaendelea na kumuombea hiyo nafasi na kama ana imudu pia??!!

Karibia michepuo yote ya Computer lazima utajifunza Database, ila suala la kuwa Database administrator ni la kujiongeza sio la kuishia kwenye notes unazopewa na lecturer darasani
 
Shukrani sana mkuu, nikawaza hivi hawa fresh graduates hua wanafika wanawapiga lecture au vipi make wengi hua wanatoka vyuoni empty kabisa, mfano mzuri ni huyu niliyekua namuombea.
Na si yeye tu, humu jukwaani tumepata kesi nyingi sana za hawa watu.
 
Back
Top Bottom