treva_travis
Member
- Jul 27, 2017
- 9
- 4
Thank all kwa mawazo na ushauri nilienda Hospital Regency. Doctor alinipima pressure & kisukari sina nikapewa dawa ila baada ya week kutumia dawa za hospital mabadiliko hakuna ndo nikaomba ushauli labda kuna anaejua zaidi mdomo umepinda upande Na jicho moja alifungi kabisa hata kula kwa tabu hata maji kunywa nakunywa kwa tabu bado nahangaika hapa
Na pale leo nimeenda kko duka la dawa za asili nimenunua dada insitwa mdudu Na mafuta ya mzeituni na chua kuurudisha sala zenu wakuu simulia Sana omba Yadikukute ni ugonjwa wa ajabu hata kutoa tabasamu wala kupiga mluzi siwezi wahenga walisema ujafa ujaumbika
Sent using Jamii Forums mobile app