Ni yule niliepinga mdomo

Ni yule niliepinga mdomo

treva_travis

Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
9
Reaction score
4
Thank all kwa mawazo na ushauri nilienda Hospital Regency. Doctor alinipima pressure & kisukari sina nikapewa dawa ila baada ya week kutumia dawa za hospital mabadiliko hakuna ndo nikaomba ushauli labda kuna anaejua zaidi mdomo umepinda upande Na jicho moja alifungi kabisa hata kula kwa tabu hata maji kunywa nakunywa kwa tabu bado nahangaika hapa

Na pale leo nimeenda kko duka la dawa za asili nimenunua dada insitwa mdudu Na mafuta ya mzeituni na chua kuurudisha sala zenu wakuu simulia Sana omba Yadikukute ni ugonjwa wa ajabu hata kutoa tabasamu wala kupiga mluzi siwezi wahenga walisema ujafa ujaumbika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanx all kwa mawazo na ushauri nilienda Hospital Regency. Doctor alinipima pressure & kisukari sina nikapewa dawa ila baada ya week kutumia dawa za Hospital mabadiliko hakuna ndo nikaomba ushauli labda kuna anaejua zaidi mdomo umepinda upande Na jicho moja alifungi kabisa hata kula kwa tabu hata Maji kunywa nakunywa kwa tabu bado nahangaika hapa Na pale Leo nimeenda kko duka LA dawa za asili nmenunua Dada insitwa mdudu Na Mafuta ya mzeituni Na chua kuurudisha ....sala zenu wakuu.....simulia Sana omba Yadikukute ni ugonjwa wa ajabu hata kutoa tabasamu wala kupiga mluzi siwezi ....wahenga walisema ujafa ujaumbika

Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kwenye maombi pia, wakati mwingine huwa ni mashetani na yakitamkiwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth huwa yanakimbia na kuachia mdomo. utakuwa huru.
 
Mimi sikupi pole,japo nilisoma post yako yote iliyopita nika ignore! kwa kuwa pole inauma na wewe shida yako haijaisha, nami nimeguswa na tatizo lako nataka nikupe msaada wa ushauri ili uweze pona kabisa.
Naomba kujua yafuatayo kwanza.
Una umri gani sasa?
Ilitkeaje hadi ukaona mdomo umepinda? Usiku, mchana, ulivyoamka, ulivyokimbia/kuaguka nk.
Ni vyakula/vinywaji gani unavyopendelea sana? hapa uniambie. Yaani kwa wiki ni vyakula vipi ambavyo unakula sana kwa wiki?
Unafanya kazi gani? na Unatumia usafiri gani kila siku?

Ukinijibu in details nitakupa ushauri mzuri.
uni quote wakati unanijibu.
 
Back
Top Bottom