Makamu awe BashiruHussein Mwinyi anafaa, na makamu wake Majaliwa. Hao wengine wachumia tumbo.
Basi ungebakia na comment yako tumboniAnahitajika inteligent, humble, patriotic, visionary and Truthful kufanikisha next stage!!!
Lipo jina hapo naliona ndie!!
Na Mbingu zimemchagua na sisi wazalendo tunaenda nae!!!
Sitomtaja kwenye uzi Huu!!!
Tafuteni WENYEWE!
Hakika1. Hussein Mwinyi
2. Tundu Lissu
Hawa wanaweza tupeleka sehemu nzuri zaidi.
Tutajie mkuuAnahitajika inteligent, humble, patriotic, visionary and Truthful kufanikisha next stage!!!
Lipo jina hapo naliona ndie!!
Na Mbingu zimemchagua na sisi wazalendo tunaenda nae!!!
Sitomtaja kwenye uzi Huu!!!
Tafuteni WENYEWE!
2$5Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania :-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu lissu .
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi.
Mchapakazi, ila mpole sana. Hataweza kuwaendesha Wabongo. Ndiyo maana alishauriwa akavute bange. Kama kweli tunataka maendeleo, staili pekee ya kufanikiwa, angalau kwa sasa, ni ile ya JPM. Kama tunataka mzaha, basi tufumbe macho na kumchagua mtu yeyote.Prof Makame Mbarawa
Wanyiramba hawanaga akiliMwigulu Nchemba
Askofu3. Askofu Gwajima