Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Acha udini hao wakiristo ukimtoa mkapa na Nyerere jiwe alitufanyia nini zaidi ya mateso kwa hili taifaSasa tundu lissu ni mzalendo gani[emoji856][emoji856]
Pia hapo toa majina ya kiislamu yote bakisha mengine tujadili ..waislamu wana abudu wazungu na waarabu kuwapa 8ongozi ni jau