Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Sasa tundu lissu ni mzalendo gani[emoji856][emoji856]
Pia hapo toa majina ya kiislamu yote bakisha mengine tujadili ..waislamu wana abudu wazungu na waarabu kuwapa 8ongozi ni jau
Acha udini hao wakiristo ukimtoa mkapa na Nyerere jiwe alitufanyia nini zaidi ya mateso kwa hili taifa
 
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania :-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu lissu .

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi.
Ninashauri tumuombe jirani yetu Obama aje atawale angalau kwa kipindi kimoja ili atufundishe kuwa Tanzania si ya wanaccm tu, na ili kuijenga zinahitajika juhudi za wananchi wote, Mr Obama you are welcome to Tanzania the land of Royal Tour.
 
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania :-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu lissu .

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi.
January Yusuph Makamba
 
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi.
tumalizane na katiba kwanza, kisha tuone nani atatufaa kwa wakati huo.
 
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi.
Zote takataka... labda Tundu Lissu tu
 
Mchapakazi, ila mpole sana. Hataweza kuwaendesha Wabongo. Ndiyo maana alishauriwa akavute bange. Kama kweli tunataka maendeleo, staili pekee ya kufanikiwa ni ile ya JPM. Kama tunataka mzaha, basi tumchague mtu yeyote.

Majaliwa alikuwa anafaa sana. But, baada ya dira yake kuondoka, anaonekana kama vile amejiunga na ^war-who-knee!^

Kabla ya kumpatia kiongozi dhamana ya kuliongoza taifa hili, ni vyema tukarejea kwenye hotuba ya JKN 1995.

Ya kuua wananchi anaowaongoza ? Huu ni wehu
 
Acha udini hao wakiristo ukimtoa mkapa na Nyerere jiwe alitufanyia nini zaidi ya mateso kwa hili taifa
Ukweli useme waislamu hatufai kwenye uongozi kabisa kuchagua muislamu kuwa rais ni sawa sawa na kuchagua mwanamke kuwa raisi
 
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi.
Ngowi au Harry Kitilya.
 
Back
Top Bottom