Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

kama siyo Mataka, basi ni Lisu
 
Reactions: RNA
1) Bashiru Ally.
2) Hussein Bashe.
Tuwe wakweli hapa, hulka za Bashiru Ali na Baba wa Taifa pamoja na Magufuli zinarandana sana sana,hata ukimwangalia usoni anaonekana afanyi mambo ya usanii ni mzalendo kweli kweli,msikilizeni anapo jieleza mbele ya mkutano au kongamano one could feel ana karma ya ziada ie si binadamu wa kawaida - wengi watanipinga na kumzulia mambo na kashfa za kutunga tu ili kumwaribia sifa -lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Mtanzania mwenzetu huyu ni jembe sana.
 
Kuna ukweli hapa
 

Lissu hawezi kigombea Tena. Chadema huwa hairudii mgombea.
 
Reactions: RNA
Hongera sana
 
^War-who-knee,^ kila wakati jina la BA likitajwa, wanakabwa kihoro na kuvurugwa matumbo. Bahati nzuri harakati na kasi za miaka ile 5 imewafanya wote wajue wako upande gani. Hapa kinachosubiriwa tu ni kipyenga cha 2025.

^Usione tu chui amejibanza; anajiandaa kuyasakama mawindo yake!^
 
Well said, barikiwa sana.
 
Reactions: RNA
Hata mimi nimeshangaa Gwaji boy ana watu sana
Waumini wake
Hata mimi nimeshangaa Gwaji
Hata mimi nimeshangaa Gwaji boy ana watu sana
Hata mimi nimeshangaa Gwaji boy ana watu sana

Kweli akili ni Nywele kila mtu ana zake...
Kweli
Rais ajaye ni M Catholic yaani iwe iweje ni Mkatoliki!
ni lazima awe mkatoliki au mkristo yeyote ?
 
Kama list ndio hiyo kwa nini hujamtaja Piere Likwidi?.
Ulevi sio tatizo sana Kama ana akili kubwa ! Mbona ma Rais wengi tu walikuwa wanautwika na bado wanatawala Nchi kubwa tu na nyingine ni Super power Kama Urusi alikuwepo Boris Yeltsin! Baadhi ya ziara zake zilikuwa zinaakhirishwa akiwa angani kwa sababu anakuwa amelewa sana !! Hatari sn !!!
 
Sasa kama fact anazo DSO na RSO kwann shutuma ulete wewe? Au ulifikiri kila mtu ana kichwa cha kupokea matapishi ya wapinzani uchwara?
Subiri aliwe kichwa halafu uchafu wake uwekwe hadharani ndipo utajua nani ni mpinzani na nani ni mzalendo na mtetezi wa kweli wa taifa hili.
Nyinyi viroboto mnaoishi kwa kutegemea kusifia binadamu wenzenu kisa tu mliumbwa na uwezo mdogo wa ufahamu na kukosa malezi bora ya kifamilia na kielimu, ndio mnasababisha nchi hii sote tukaonekana hamnazo mbele ya uso wa walimwengu.
 
Ni Tundu Lissu pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…