The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hakuna Rais hapo wote hawana hadhi ya kuwa Rais..Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Mwigulu anaweza ila sasa majivuno ,dharau na ubabe kujifanya ana akili kuliko wote..Mwigulu Nchemba
Rubbish,hao ni wapayukaji daily kama Bashungwa.Umi mwalimu na Bashiru Ali mmoja wao.
Takataka hizoYah yoyote kati ya Majaliwa au Bashiru anafaa kuwa makamu. Lkn mimi naona list inaweza kuwa nzuri zaidi kiuongozi kwa kufuata mpangilio huu... 1) raisi Hussein Mwinyi, 2) makamu wa raisi Kassim Majaliwa, na 2) waziri mkuu Bashiru.
Hakikaa...Twende na Bashite aka Makonda, makamu awe General Sabaya, Waziri mkuu awe Mnyeti Alexander, nchi itapaa kiuchumi kama USA
Alishawahi kuwa kwenye mamlaka ukauona upungufu wake!?Lisu kabisa? Yule maneno mengi vitendo zero!
Alishawahi kuwa kwenye mamlaka ukauona upungufu wakeLisu kabisa? Yule maneno mengi vitendo zero!
Hapo kuna mtu mmoja tu mwenye sifa za kuwa Rais ni Husein Mwinyi.Lisu Urais hawezi,Makonda Gwajima ni wahuni na nchi ingekuwa inafata sheria wangekua magereza kwa Sababu wote Wana jinai .Hao wengine sifa za uongozi hawana .Lisu labda uwaziri lakini ngazi ya Urais atakua dikiteta mkubwa Sana ni zaidi ya Magufuli.Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Lissu mkuu.mbona hakuna hata mmoja hapo anayefaa?
UmemalizaHapo hamna the best ANTONY MTAKA
Bashiru amenyooka sana. Bahati mbaya wanyoofu hawatakiwa Tanzania.Makamu awe Bashiru