Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Hakuna Rais hapo wote hawana hadhi ya kuwa Rais..

Rais anafaa mtu asiye na mihemko
 
Yah yoyote kati ya Majaliwa au Bashiru anafaa kuwa makamu. Lkn mimi naona list inaweza kuwa nzuri zaidi kiuongozi kwa kufuata mpangilio huu... 1) raisi Hussein Mwinyi, 2) makamu wa raisi Kassim Majaliwa, na 2) waziri mkuu Bashiru.
Takataka hizo
 
Kuna wengine huko walipokua tu mtihani huo urais sijui kama watauweza!
 
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Hapo kuna mtu mmoja tu mwenye sifa za kuwa Rais ni Husein Mwinyi.Lisu Urais hawezi,Makonda Gwajima ni wahuni na nchi ingekuwa inafata sheria wangekua magereza kwa Sababu wote Wana jinai .Hao wengine sifa za uongozi hawana .Lisu labda uwaziri lakini ngazi ya Urais atakua dikiteta mkubwa Sana ni zaidi ya Magufuli.
 
Sema vijana mmekua wajinga sana na bahati mbaya CCM imefanya watu wajinga waamini kila mtu anafaa kuwa Rais wa nchi hii. Imagine mpaka Bashiru mwalim wangu mnaona ana sifa za kua Rais, Gwajima yaan asee. Kwa kifupi acha ujinga ndugu mwandishi
 
Rais - Hussein Mwinyi.
Makam - gwajima
Waziri mkuu - Jumanne Kishimba

Ngoja nitoke usingizini
 
Kama ni baada ya huyu aliyepo basi ifuatavyo ni zamu ya kusali jumapili.
 
Mmemsahau Dr. Msukuma wa Geita namzimia sana. Yeye ndie atakaesukuma gurudumu la Urais TZ
 
Back
Top Bottom