Prince Moola
Member
- Aug 21, 2013
- 87
- 98
Hussein Mwinyi hana mpinzani hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema Kenani.Anahitajika inteligent, humble, patriotic, visionary and Truthful kufanikisha next stage!
Lipo jina hapo naliona ndie!
Na Mbingu zimemchagua na sisi wazalendo tunaenda nae!
Sitomtaja kwenye uzi Huu!
Tafuteni WENYEWE!
Sio kila mtu anafaa kuwa Rais labda kajiona akili NdogoHapo sasa! Watu wengi tunakuwa inferiors !!
Umenikumbusha Walivyo mchinjia Mbali ELNafasi ya Urais hata ukiandaa MTU ni sawa na bure,mazingira ya wakati huo ndio hata determine nani awe Rais.99% ya Marais wote Duniani walibahatika tu kwa katika nafasi hizo hamna aliyeandaliwa.
Chukulia hapa Kwetu,Mwinyi,Mkapa& Magufuli wote ni bahati tu walikutana nayo labda kidogo Kikwete ilijulikana.
1. Hafai tena ameshaanza kuonyesha Udhaifu kwa Rasilimali za aliko sasa kwa Kuzigawa na. Kuziiba.Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Baada ya miaka mitano atakuwa ameshajenga mahekalu mangapi? Na atakuwa ameshadhalilisha wazee wangapi ? Hii nchi inakaribia kuchanganyikiwa!Bora Makonda, japo hakuchaguliwa na wananchi, lkn alijitahidi kutoa msaada kwa jamii mbali mbali, kitu ambacho wengi wao kwenye hii list hawakuwahi kukifanya. Wengi hasa wabunge walikuwa wanajali matumbo yao.
Mahaba ya siasa uchwara yashakuingia kichwani kiasi kwamba hauwezi kuwa na ujanja wa kuwaza mambo ya maana nje ya box. Anaejenga hekalu huku akikumbuka kuisaidia nchi na wananchi na yule anaetumia hela yale kwa ajili ya ulevi na starehe nyingine bila kusaidia nchi na wananchi nani bora? Huyo pamoja na kujenga hekalu lkn ana moyo wa utu kwa kusaidia wasiojiweza. Wengine hawajengi hekalu na hawana msaada wowote kwa wenzao zaidi ya kutumia shida zao kama mtaji kisiasa. Nambie hao wengine wamefanya kipi cha maana kwa wale waliowachagua kuwa wabunge wao?Baada ya miaka mitano atakuwa ameshajenga mahekalu mangapi? Na atakuwa ameshadhalilisha wazee wangapi ? Hii nchi inakaribia kuchanganyikiwa!
Hater1. Hafai tena ameshaanza kuonyesha Udhaifu kwa Rasilimali za aliko sasa kwa Kuzigawa na. Kuziiba.
2. Mdini sana ataharibu Ustawi wa nchi, Imani na hata Usalama.
3. Mnafiki na Muhuni hafai kuwa Rais kabisa.
4. Ni Muongo aliyeshindikana hata Mungu anajua hivyo atatupoteza Watanzania wote Kimalengo.
5. Mkabila mno halafu ana Roho ya Ukatili, Visasi na Kukomoa.
6. Watanzania wote tutatunukiwa Nishani za Umbea na Uswahili aliobobea nao.
7. Al Shabaab na Wasomali watazaana kuliko maelezo nchini Tanzania.
8. Kama jina lake tu la Mwisho ni Shangai hivyo hata Sisi Watanzania tutamshangaa pia akiutaka huo Urais wenyewe.
9. Akiwa Rais wa Tanzania nitawaona Watanzania wote ni Vichaa.
10. Atazalisha Kizazi cha Watu Viburi na Jeuri kitu ambacho ni HATARI kwa Taifa.
Muacheni MakondaMahaba ya siasa uchwara yashakuingia kichwani kiasi kwamba hauwezi kuwa na ujanja wa kuwaza mambo ya maana nje ya box. Anaejenga hekalu huku akikumbuka kuisaidia nchi na wananchi na yule anaetumia hela yale kwa ajili ya ulevi na starehe nyingine bila kusaidia nchi na wananchi nani bora? Huyo pamoja na kujenga hekalu lkn ana moyo wa utu kwa kusaidia wasiojiweza. Wengine hawajengi hekalu na hawana msaada wowote kwa wenzao zaidi ya kutumia shida zao kama mtaji kisiasa. Nambie hao wengine wamefanya kipi cha maana kwa wale waliowachagua kuwa wabunge wao?
Kuwa seriousZuchu
To speak the truth sio kwa hao kumi tu Bali hata kwa wengine waliobaki bado simuoni mtu yeyote atakayefit kwa ofisi ile !! Maana opportunity syndromes ndio inayotawala miongoni mwa wanasiasa wengi waliopo kwa sasa kutoka chama tawala na kutoka upinzani pia !! Kwa kazi tunayo labda tuendelee kufanya maombi huenda akaja kupatikana atakayefit pale !! Kwa Mungu hakuna lisilowezekana !!Hussen Bashe
Mchapakazi, ila mpole sana. Hataweza kuwaendesha Wabongo. Ndiyo maana alishauriwa akavute bange. Kama kweli tunataka maendeleo, staili pekee ya kufanikiwa, angalau kwa sasa, ni ile ya JPM. Kama tunataka mzaha, basi tufumbe macho na kumchagua mtu yeyote.
Majaliwa alikuwa anafaa sana. But, baada ya dira yake kuondoka, anaonekana amepwaya sana--ni kama vile amejiunga na timu butu ya ^war-who-knee!^
Kabla ya kumpatia kiongozi dhamana ya kuliongoza taifa hili, ni vyema tukairejelea hotuba ya JKN 1995.
Daa punguza chuki1. Hafai tena ameshaanza kuonyesha Udhaifu kwa Rasilimali za aliko sasa kwa Kuzigawa na. Kuziiba.
2. Mdini sana ataharibu Ustawi wa nchi, Imani na hata Usalama.
3. Mnafiki na Muhuni hafai kuwa Rais kabisa.
4. Ni Muongo aliyeshindikana hata Mungu anajua hivyo atatupoteza Watanzania wote Kimalengo.
5. Mkabila mno halafu ana Roho ya Ukatili, Visasi na Kukomoa.
6. Watanzania wote tutatunukiwa Nishani za Umbea na Uswahili aliobobea nao.
7. Al Shabaab na Wasomali watazaana kuliko maelezo nchini Tanzania.
8. Kama jina lake tu la Mwisho ni Shangai hivyo hata Sisi Watanzania tutamshangaa pia akiutaka huo Urais wenyewe.
9. Akiwa Rais wa Tanzania nitawaona Watanzania wote ni Vichaa.
10. Atazalisha Kizazi cha Watu Viburi na Jeuri kitu ambacho ni HATARI kwa Taifa.
😂😂😂😂(Waa who knee ) hili neno nimecheka sana !! Hahaha !!