Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Utajuaje sasa,huyo unayetaka kuwa naye anaweza kutulia?Kitulia katika ndoa hutokana na
1. Majaaliwa ya Mungu tu.
2. Uwamuzi wa mtu mwenyewe
3. Moja na mbili yawe pamoja.
Hivyo haijalishi ulifanya ujana Sana au laa
Mwisho wa kunukuu...
Ni kweli hakuna formula,ila unatumia njia gani kupunguza risk?Hakuna formula mzeee
Utajuaje sasa,uliyenaye anaweza kutulia?Wote wanaweza wasitulie na wote wanaweza wakatulia..ni maamuzi tu.
Mkuu,wewe utafanyaje...mshamba akiujua mji ni shida piaUnahepa mshamba unaoa malaya
Kwa hiyo unashauri mwanaume aoe binti yule ambaye hakuangaika ujanani?Kwa mwanaume aliyefanya uhuni ujanani Ni rahisi Sana kutulia kuliko mwanamke aliyefanya uhuni ujanani.
Mwanamume kwa kawaida ndio marefa wa mechi zetu na ndio wapiga kipenga hivyo Ni ngumu kughairi mechi kabla ya kuridhika kibinafsi, msala unakuna kwa wenzetu ukiwa humridhishi na kipindi Cha nyuma ukute kulikua na pori lake akifika anakula ndizi Hadi ashibe, aisee mkuu lazima atakumbuka pori lake na kulirudia.
Hivyo ni rahisi sana kwa mwanamume aliyezurula kutulia kuliko mwanamke aliyezurula ujanani!
Nikutia mkono gizani tuu (kubahatisha)Utajuaje sasa,huyo unayetaka kuwa naye anaweza kutulia?
Kweli mkuu,we unatumia njia gani?Inategemeana na ntu na ntu
Muhusika ndiye mwenye uamuzi wa kuamua kutulia au lah! Kikubwa unapoingia kwenye mahusiano na mtu na ukawa na nia ya kumfanya fyucha patina/wife omba Mungu akupe mwenye hofu yake.Utajuaje sasa,uliyenaye anaweza kutulia?
Kwa hiyo unashauri ni bora utafute yule ambaye hakuangaika ujanani?Brother mwanamke muhuni atakurudisha Nyuma kimaisha na maradhi yatakuwa patina wako.
Hapo hakuna Bora.
ha ha ha ha na wengi huwa tunafanya hivyo tukitegemea miujizaNikutia mkono gizani tuu (kubahatisha)
Hakika mkuu maana kuna jamaa alisema funguo iliyofungua makufuli mengi huonekana yenye maana kuliko kufuli linalofunguliwa na Kila funguo, maana ukiliweka mlangoni halitafaaa kabisa!Kwa hiyo unashauri mwanaume aoe binti yule ambaye hakuangaika ujanani?
Kwa hali hiyo,tutegemee miujiza kumpata mtu aliyetulia?Muhusika ndiye mwenye uamuzi wa kuamua kutulia au lah! Kikubwa unapoingia kwenye mahusiano na mtu na ukawa na nia ya kumfanya fyucha patina/wife omba Mungu akupe mwenye hofu yake.
Moyo wa mtu kichaka mjomba.
Msome yna2 post No 16...naunga juhudiKweli mkuu,we unatumia njia gani?