Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #41
Anakuwa alishazoea midundo tofautiMwanamke mhuni hawezi kutulia ila mwanahme mhuni anaweza.
Mwanamke mhuni ataficha tabia zake kwa muda mfupi sana halafu atarudia zama zake. Wanaume tukiamua jambo tunaamua moja kwa moja
Sikushauri uoe mwanamke mhuni kwa kudhani kuwa atabadilika... utaumia sana