Ni yupi kati ya hawa wahusika wakiingia kwenye ndoa hutulia?

Anakuwa alishazoea midundo tofauti
 
Very subjective ie situational...kuna factors nyingi zinaweza badili chochote!!

Kwenye sosholojia na saikolojia tunasema “ishu za mahusiano sio one way traffic”

Kama Mtawa wa kanisa anavua kilemba au padri anaoa itakua kwa mtu kua mtulivu? Ni formation ya wachezaji tu ie waliooana!

Sio kama “which is better Education or money ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Malaya hatuliii si rahisi kwa malaya kutulia


Malaya anapumzika tu

Malaya kutulia laZima ajikane nafsi
 
Mapenzi hayana formula, ni maamuzi ya muhusika tyuuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…