Ni yupi mchezaji bora kuwahi kutokea Tanzania?

Ni yupi mchezaji bora kuwahi kutokea Tanzania?

Nasikia Lunyamila alikua level za Messi japo sikuwahi kumuona ila nlikua namsikia kwenye radio tu Lunyamila...... Lunyamila... Lunyamila yaan kila mda ni yeye tu
 
Nimekaa na wazee hapa, wanabishana kuwa Sunday Manara "Computer" ndiye mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania.

Ila miongoni mwao wapo wanaosema hakuna kama Edibily Jonas Lunyamila. Wakakosoa Lunyamila amecheza timu gani Ulaya? Mashabiki wa Lunyamila kimyaaa...

Mimi nimekaa zangu kimya, maana jina linalonijia kichwani ni Mbwana Samatta. Kwangu nafikiri ndio mchezaji bora wa muda wote kutoka Tanzania.

Haya wanajukwaa, tujadiliane hapa nani ni mchezaji bora kuwahi kutokea hapa Tanzania?

Karibuni kwa mjadala...
Sabebe
 
1.zamoyoni mogela golden boy
2.sanday manara
3.kaseja juma
4.nadir harub
5.Edgar chila tenga
 
Pa
Samata anapambana Sana akiwa nje ila kwa sasa taifa stars anacheza kistaa Sana na anaharib na kukosa magoli
Tulibahatika kuwa na wachezaji mahiri nchi hii ambao ni Zamoyoni mogela(golden boy) Sunday manara (computer) Edibil Jonathan Lunyamila, Said Mwamba Kizota, Mohammed Hussein Mmachinga, Malota soma ( Bob jugra) George Magere Masatu, Edward Chumila, Suleiman Matola, Saimon Msuva, Mbwana Samatta, na wengineo wengi kila kwangu Nina wachezaji wawili tu wa wakati wrote Edbily Jonathan Lunyamila na Said Mwamba kizota Hawa walikua Habari nyingine hapo mogela alikua vizuri pia
 
Msuva akiwepo tim ya taifa hakuna wasiwasi kabisa. Mda wowote anafanya lolote. Ni silent killer.
I adore this boy.
 
Usinilazimishe kufilkilia kma unavyotaka wewe, umemuona Messi ni Mungu kiasi kwamba hawezi kufananishwa na binadamu yoyote?
Tunaongelea individual performance kwenye soka,acha kumfananisha Messi na huyo Lunyamila utaonekana wa ajabu,hivi vitu sio eti mtu anatoa maoni yake kisa yupo huru kutoa maoni,kwenye soka comparison huenda kwa fact,so narudia tena kukwambia Acha kumfananisha Messi na huyo mtu wako.
 
Kibongobongo Hakuna Kama Yule Jamaa Aliyeifunga Liverpool EUFA,si Mwngne Bali Ni.......
 
Aliyeweza kuwafunga mabingwa wa ulaya huyo ndio bora kuliko wote .. hao wengine ni ushabiki wenu maandazi tu
 
Back
Top Bottom