Ni zaidi ya Usiri, toka nimejiunga JamiiForums 2010 hakuna anayenijua, completely anonymous

Ni zaidi ya Usiri, toka nimejiunga JamiiForums 2010 hakuna anayenijua, completely anonymous

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Jamani tuambiananeni Ukweli, Mimi Sasa ni miaka 12 toka nimekuja jamii forum, Ila hakuna binadamu yoyote anayejua Mimi ni nani, najua rafiki, staff mate na ndugu wamesoma mada zangu nyingi Ila hakuna aneyejua mimi ni nani.

Hivi is jamii forum the most secured social media platform ever?

Jiulize wewe unaetangaza I'd yako, tulia dogo
 
jifunue tukufahamu...manake wengine twawafahamu kwa namna wanavyoandika kwenye JF
 
Ip address inasoma ya kenya tena kutoka computer ya dell mtandao ni safaricom na email ni yahoo ambayo unatumika special kwaajili ya Jamii forums namba ya simu iliounganushwa na hiyo email ni ya Somalia! 🙌
 
Aisee hongera,hata mimi nina miaka 10.ila no one knows me
 
Nina rafiki yangu yuko humu Jf na anadhan sijui ID yake lakini naifahamu vzr [emoji23][emoji23]
 
Ip address inasoma ya kenya tena kutoka computer ya dell mtandao ni safaricom na email ni yahoo ambayo unatumika special kwaajili ya Jamii forums namba ya simu iliounganushwa na hiyo email ni ya Somalia!
Hata kama ni kuotea sio kwa kuunga unga huko
 
Jamani tuambiananeni Ukweli, Mimi Sasa ni miaka 12 toka nimekuja jamii forum, Ila hakuna binadamu yoyote anayejua Mimi ni nani, najua rafiki, staff mate na ndugu wamesoma mada zangu nyingi Ila hakuna aneyejua mimi ni nani. Hivi is jamii forum the most secured social media platform ever
Jiulize wewe unaetangaza I'd yako, tulia dogo
Unataka tuweke jina lako hapa?🤣
 
Wakikuamulia watakujua tu...
 
Jamani tuambiananeni Ukweli, Mimi Sasa ni miaka 12 toka nimekuja jamii forum, Ila hakuna binadamu yoyote anayejua Mimi ni nani, najua rafiki, staff mate na ndugu wamesoma mada zangu nyingi Ila hakuna aneyejua mimi ni nani. Hivi is jamii forum the most secured social media platform ever
Jiulize wewe unaetangaza I'd yako, tulia dogo
Ina maana marafiki ulionao huko Facebook hawakutoshi?
 
Back
Top Bottom