Ni zaidi ya Usiri, toka nimejiunga JamiiForums 2010 hakuna anayenijua, completely anonymous

Siku niliyokuja kugundua boss wangu ni nyani ngabu nilicheka sana
 
Jamani tuambiananeni Ukweli, Mimi Sasa ni miaka 12 toka nimekuja jamii forum, Ila hakuna binadamu yoyote anayejua Mimi ni nani, najua rafiki, staff mate na ndugu wamesoma mada zangu nyingi Ila hakuna aneyejua mimi ni nani. Hivi is jamii forum the most secured social media platform ever
Jiulize wewe unaetangaza I'd yako, tulia dogo
Kujulikana au kutojulikana haisaiidi kitu.Wewe toa constructive ideas, bila matusi ili kusaidia kujenga nchi yetu!!

Sawa bwana mdogo??
 
Jamani tuambiananeni Ukweli, Mimi Sasa ni miaka 12 toka nimekuja jamii forum, Ila hakuna binadamu yoyote anayejua Mimi ni nani, najua rafiki, staff mate na ndugu wamesoma mada zangu nyingi Ila hakuna aneyejua mimi ni nani.

Hivi is jamii forum the most secured social media platform ever?

Jiulize wewe unaetangaza I'd yako, tulia dogo
Mie mwaka wa 15 huu.....hakuna 👍
 
Backdoor tech

Back
Top Bottom