ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Anachomaanisha ule usiri wa jukwaa hili hapa kuna watu mashuhuri kabisa lakini hawajulikani hata kidogo labda uamue kujiweka wazi wewe mwenyeweUkiona hvy ujue huna faida hapa JF
π π πUkiona hvy ujue huna faida hapa JF
Hata kama ni kuotea sio kwa kuunga unga hukoIp address inasoma ya kenya tena kutoka computer ya dell mtandao ni safaricom na email ni yahoo ambayo unatumika special kwaajili ya Jamii forums namba ya simu iliounganushwa na hiyo email ni ya Somalia!
Unataka tuweke jina lako hapa?π€£Jamani tuambiananeni Ukweli, Mimi Sasa ni miaka 12 toka nimekuja jamii forum, Ila hakuna binadamu yoyote anayejua Mimi ni nani, najua rafiki, staff mate na ndugu wamesoma mada zangu nyingi Ila hakuna aneyejua mimi ni nani. Hivi is jamii forum the most secured social media platform ever
Jiulize wewe unaetangaza I'd yako, tulia dogo
Ruhusu nikutajeAisee hongera,hata mimi nina miaka 10.ila no one knows me
Ina maana marafiki ulionao huko Facebook hawakutoshi?Jamani tuambiananeni Ukweli, Mimi Sasa ni miaka 12 toka nimekuja jamii forum, Ila hakuna binadamu yoyote anayejua Mimi ni nani, najua rafiki, staff mate na ndugu wamesoma mada zangu nyingi Ila hakuna aneyejua mimi ni nani. Hivi is jamii forum the most secured social media platform ever
Jiulize wewe unaetangaza I'd yako, tulia dogo