Ni zaidi ya75% vijana productive (22 to 55yrs) mijini hufanya kazi zisio kua na tija katika uchumi wetu.

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Nguvu kazi nyingi ya taifa (work force) hufanya kazi za udalali mijini lakini kwanini?

Kazi ambazo zimeshamiri na kila kijana kutoka mkoani na zina watu wengi ni za udaĺali wa viwanja nyumba magari piki piki nk, udalali wa kukata tiketi za mabasi au upiga debe wanijita ma agents, kua winga kwenye baduka makubwa K.koo au mtandaoni kufanya delivery ya bidhaa kwa ajili ya kupate cha juu, kuagizia watu magari kutoka japan, kusajiri line za simu za mitandao tafauti tofauti, na kurudisha line za simu zilio potea nk hizo kazi zote zinaitwa (commission agent).

Kwa kazi kama hizo ni ndoto kutoka kwenye uchumi ambao ni tegemezi kuingia industrialization au uzalishaji wa viwanda unao leta maendeleo katika jamii, wanasiasa msitudanganye bila mageuzi tutabaki kua watu wa dunia ya tatu siku zote iwe Chadema au CCM.

Watazania wengi huzaliwa na wazazi masikini kuishi kimasini kuoa masikini wenzao na kuzaa watoto masikini na kufa masikini na kuzikwa na masikini, call it "vicious cycle of poverty" hi ni kwasbb ya mfumo wa uchumi dhaifu. Kuna haja ya "economic revolution" na new mindset kwa raia na viongozi wetu.
 
Usisahau pia kuwa Gavoo inachangia kuwarudisha Wananchi nyuma kwa kuwakatia umeme kila uchwao.

MABADILIKO INABIDI YAANZIE KWENYE USIMAMIZI THABITI WA RASILIMALI ZA WANANCHI, TOO BAD KILA RIPOTI YA CAG INAONYESHA WIZI WA RASILIMALI NA HAKUNA HATUA INAYOCHUKULIWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Umeme wenyewe hutumika kwenye kuangalia mpira betting vjdio game, vijana watanzania hawatumii umeme kuzalisha kiuchumi kama small scale industries, tujifunze tuwe kama India kila familia wana small production zinaitwa home bussiness.
 
Unajua kuwa wamiliki wa hizo biashara wanalipa kodi na kulisha familia zao?

BIASHARA NI BIASHARA TU, ACHA DHARAU MKUU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Nguvu kazi nyingi ya taifa (work force) hufanya kazi za udalali mijini lakini kwanini?

Kazi ambazo zimeshamiri na kila kijana kutoka mkoani na zina watu wengi ni za udaĺali wa viwanja nyumba magari piki piki nk, udalali wa kukata tiketi za mabasi au upiga debe wanijita ma agents, kua winga kwenye baduka makubwa K.koo au mtandaoni kufanya delivery ya bidhaa kwa ajili ya kupate cha juu, kuagizia watu magari kutoka japan, kusajiri line za simu za mitandao tafauti tofauti, na kurudisha line za simu zilio potea nk hizo kazi zote zinaitwa (commission agent).

Kwa kazi kama hizo ni ndoto kutoka kwenye uchumi ambao ni tegemezi kuingia industrialization au uzalishaji wa viwanda unao leta maendeleo katika jamii, wanasiasa msitudanganye bila mageuzi tutabaki kua watu wa dunia ya tatu siku zote iwe Chadema au CCM.

Watazania wengi huzaliwa na wazazi masikini kuishi kimasini kuoa masikini wenzao na kuzaa watoto masikini na kufa masikini na kuzikwa na masikini, call it "vicious cycle of poverty" hi ni kwasbb ya mfumo wa uchumi dhaifu. Kuna haja ya "economic revolution" na new mindset kwa raia na viongozi wetu.
Maskini wa kesho hao yaani unafikia uzeeni uko hoi.
 
Unajua kuwa wamiliki wa hizo biashara wanalipa kodi na kulisha familia zao?

BIASHARA NI BIASHARA TU, ACHA DHARAU MKUU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mkuu biashara zipi ?
 
mI ndo maana nataka kutafuta fursa hata afghanistan nchi za hatari hatari naamini zitanipa hela mrad kazi ya halali
Utajiri wa kwanza ulio nao ni uhai wako na afya, kazi yoyote inao hatarisha uhai wako na afya sio kazi.
 
Back
Top Bottom