Nguvu kazi nyingi ya taifa (work force) hufanya kazi za udalali mijini lakini kwanini?
Kazi ambazo zimeshamiri na kila kijana kutoka mkoani na zina watu wengi ni za udaĺali wa viwanja nyumba magari piki piki nk, udalali wa kukata tiketi za mabasi au upiga debe wanijita ma agents, kua winga kwenye baduka makubwa K.koo au mtandaoni kufanya delivery ya bidhaa kwa ajili ya kupate cha juu, kuagizia watu magari kutoka japan, kusajiri line za simu za mitandao tafauti tofauti, na kurudisha line za simu zilio potea nk hizo kazi zote zinaitwa (commission agent).
Kwa kazi kama hizo ni ndoto kutoka kwenye uchumi ambao ni tegemezi kuingia industrialization au uzalishaji wa viwanda unao leta maendeleo katika jamii, wanasiasa msitudanganye bila mageuzi tutabaki kua watu wa dunia ya tatu siku zote iwe Chadema au CCM.
Watazania wengi huzaliwa na wazazi masikini kuishi kimasini kuoa masikini wenzao na kuzaa watoto masikini na kufa masikini na kuzikwa na masikini, call it "vicious cycle of poverty" hi ni kwasbb ya mfumo wa uchumi dhaifu. Kuna haja ya "economic revolution" na new mindset kwa raia na viongozi wetu.