Ni zam ya udom sasa

Status
Not open for further replies.
hiyo mifugo mpwapwaa ni chuo au kituo cha mifugo kama ni chuo kipo under TCU kweli...?
acha ushamba wewe, ni chuo cha elimu ya kati kinachotambulika na NACTE, na kina waalimu waliobobea siyo hivyo vyuo vyenu vya kata!
 
jaman msione aibu kusema hadharan kuwa umechaguliwa UDOM mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october UDOM, I LOVE U UDOM.

karibu sana education (ng'ong'ona)
 
acha ushamba wewe, ni chuo cha elimu ya kati kinachotambulika na NACTE, na kina waalimu waliobobea siyo hivyo vyuo vyenu vya kata!

am sorry dude....cpo chuo cha kata nasijawahi kufikiria kama itatokea siku nikaungukia huko.
 
hiyo mifugo mpwapwaa ni chuo au kituo cha mifugo kama ni chuo kipo under TCU kweli...?

ndugu nimemaliza form six 2008 Tosamaganga nina div 3 ya PCB,nimeenda mifugo sababu malengo yakwenda medicine hayajatimia,mimi nishafanya kazi sana sales coca coca na salary nilikua nafunga zaidi ya m kwa mwezi ila hakuna job security na ndivyo private zilivyo so naenda mifugo kwanza nipate kazi serikalini pili kipato huku mifugo inazidi mpaka baadhi ya salary kwa wenye degree,so siendi huku kisa sina sifa za TCU naenda sababu ni kitu nakipenda napenda sayansi na daima nitadeal na upande huu tu,maisha Tanzania si ya kukariri ni kucheza na opportunities zilizopo,funguka akili ndugu
 
kizazi kina shida hiki mkuu mbna nilikuuliza swali rahisi tu nilikuuliza hivi hiyo mpwapwa mifugo ni chuo au kituo cha mifugo na kama ni chuo je kipo under TCU sasa maelezo hayo yote mbona mimi cjayauliza mkuu...?
 
usinilaumu, wewe mwenyewe unajidhihirisha na posts zako za kitoto.

Mkuu nina mashaka na wewe mimi kama nina post za kitoto wewe zako za kishamba mwenye hii thread alilenga ishu za UDOM wewe na ushamba wako ukaropoka suuuuuaaaaaaaaaaaa nani mtoto hapo.
 
Mkuu nina mashaka na wewe mimi kama nina post za kitoto wewe zako za kishamba mwenye hii thread alilenga ishu za UDOM wewe na ushamba wako ukaropoka suuuuuaaaaaaaaaaaa nani mtoto hapo.

kama nchi tuna maadui wengi hamna haja ya kubishania taasisi za elimu ya juu, hata hivyo wote ni watanzania na watatutumikia sote bila kujali katoka udom, udsm au mzumbe, jioni njema!
 
kama nchi tuna maadui wengi hamna haja ya kubishania taasisi za elimu ya juu, hata hivyo wote ni watanzania na watatutumikia sote bila kujali katoka udom, udsm au mzumbe, jioni njema!

najua wewe muelewa sana nilitegemea maneno kama haya samahani kama nilikukwaza lengo letu kujenga sio kubomoa safi sana mkuu inaonyesha jinsi gani umestarabika jioni njema mkuu.
 
Wakati wasomi wa nchi nyingine wanafikiria namna gani ya kusaidia nchi zao. Tanzania wasomi wake wanafanya comparative analysis between universities. This is terrible and a sign of immaturity.
 
Wakati wasomi wa nchi nyingine wanafikiria namna gani ya kusaidia nchi zao. Tanzania wasomi wake wanafanya comparative analysis between universities. This is terrible and a sign of immaturity.

Umemaliza.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…