ndugu nimemaliza form six 2008 Tosamaganga nina div 3 ya PCB,nimeenda mifugo sababu malengo yakwenda medicine hayajatimia,mimi nishafanya kazi sana sales coca coca na salary nilikua nafunga zaidi ya m kwa mwezi ila hakuna job security na ndivyo private zilivyo so naenda mifugo kwanza nipate kazi serikalini pili kipato huku mifugo inazidi mpaka baadhi ya salary kwa wenye degree,so siendi huku kisa sina sifa za TCU naenda sababu ni kitu nakipenda napenda sayansi na daima nitadeal na upande huu tu,maisha Tanzania si ya kukariri ni kucheza na opportunities zilizopo,funguka akili ndugu