UDOM Naipenda ila cjachaguliw..
duuu, first year bwana, kweli utawajua, mada zao zile zile
kumbe umejoin JF leo! ndo mana bado unamawazo hayo, nan kakwambia kuna mtu anakponda UDOM now days, kulikua na wapuuzi wachache tu ambao WAMESHAKUA NA WAMEACHA...
unaenda kchukua course gan
acha ushamba wewe,first year inahusika nini hapo ?
am sorry dude....cpo chuo cha kata nasijawahi kufikiria kama itatokea siku nikaungukia huko.
udsm ya nini? mimi nimechaguliwa Bachelor of Veterinary Medicine, UDSM ipo?
kwan wewe jembe umechaguliwa wapi ?
jaman msione aibu kusema hadharan kuwa umechaguliwa UDOM mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october UDOM, I LOVE U UDOM.
hongera sana vijana fanyeni kweli
tena sweet homeUdom ndio home
tena sweet home
jaman msione aibu kusema
hadharan kuwa umechaguliwa UDOM mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti
cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october UDOM, I
LOVE U UDOM.
Akili ndogo sana umeitumia hapo.
mwambie ww labda atasikia!udsm ni udsm2 na muce ni muce2!