Ni zam ya udom sasa

Ni zam ya udom sasa

Status
Not open for further replies.
kumbe umejoin JF leo! ndo mana bado unamawazo hayo, nan kakwambia kuna mtu anakponda UDOM now days, kulikua na wapuuzi wachache tu ambao WAMESHAKUA NA WAMEACHA...
unaenda kchukua course gan

sawa kaka
 
jaman msione aibu kusema hadharan kuwa umechaguliwa UDOM mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october UDOM, I LOVE U UDOM.

i love u mzumbe kwa kunipatia maisha mazuri!
 
mwambie ww labda atasikia!udsm ni udsm2 na muce ni muce2!

uwezo mdogo sana wa kufikiri! tafadhali jamani tuliotoka katika hicho kiwanda cha taaluma yaani UDSM - MUCE,DUCE na MAIN CAMPUS huwa hatufikirii hivyo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom