✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU

✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU

Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025.

Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za kushiriki zoezi hilo kujitokeza ili mwananchi kuweza kupata haki ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Mshtue Baba, Mama, Dada, Kaka, Babu na Bibi ili wote muda ukifika Dar es Salaam nzima Twende Tukajiandikishe.

#tokanitoketwendetukajiandikishe
#kazinaututunasongambele
#tunazimazotetunawashakijani
 
Attachments

  • VID-20250314-WA0275.mp4
    29.2 MB
Back
Top Bottom