Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo wangu halafu picha ya Awali ilikuwa nzuri sana .kwanini umebadilisha. Au ephen wifi yako ndio amekwambia ubadilishe.Tumewachoka na kila kitu chenu
#kataaChawahashtags,
si vijana waandamanaji kenya wanasema ni useles, wewe ndio unakomaa nazo![]()
Wananchi tunajua ccm mmetunga sheria na kanuni mbovu za uchaguzi, rekebisheni hizo kanuni za tume huru ya uchaguzi ziwe huru kweli kweli .Ndugu zangu wananchi wote, wanasiasa, wadau wa demokarisia, uhuru, haki na usawa, wanaharakati na makundi mbalimbali ya kijamii, kiuchumu na kisiasa, hamjambo? Nawasalimu Nyote kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania....
Katika historia ya siasa za vyama vingi Africa Mashariki, hususani Tanzania, Kenya na Uganda, pamekuapo mitindo mbalimbali ya kuwasilisha maoni, mitazamo ya kisiasa, hisia na pengine kupaza sauti kuonyesha kutokuridhika kwa vyama vya siasa juu ya mambo yalivyo au yanavyokwenda dhidi ya wanavyotaka au kuona wao wana siasa inafaa na kwahivyo hutumia maandamano na migomo, kuzira na kususia mambo kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na uchaguzi
Je, ni nini hasa faida za kuandamana, kususa au kugomea uchaguzi tukichukulia mfano wa Kenya na Tanzania, kwa Africa Mashariki?
Pamoja na faida hizo, Je, kuna hasara yoyote wanao susa au kugomea chaguzi wanazipata na kuwaathiri katika medani au majukwaa ya kisiasa?
MUNGU IBARIKI DEMOKRASIA UHURU, HAKI NA USAWA KATIKA SIASA ZA AFRICA MASHARIKI AIMEN...
Pia soma:Kuelekea 2025 - Je, CHADEMA Inapaswa Kushiriki Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Bila Tume Huru Ya Uchaguzi na Katiba Mpya?
binafsi sifahamu,Wananchi tunajua ccm mmetunga sheria na kanuni mbovu za uchaguzi, rekebisheni hizo kanuni za tume huru ya uchaguzi ziwe huru kweli kweli .
Mamlaka nyingine iliyo kubwa kuliko uwezo wa ccm nayo ikitumia na kutii sheria na kanuni zake tofauti na hizo zenu za kitumwa kwa ajili ya uchaguzi ujao msilaumu .

😂😂😂 kweli? Basi ntairudisha kakaMdogo wangu halafu picha ya Awali ilikuwa nzuri sana .kwanini umebadilisha. Au ephen wifi yako ndio amekwambia ubadilishe.
Aah yule!Kabisa kuna mwamba mmoja leo nilikua namfuatilia Utube eti wananchi walikubali tozo .