Pre GE2025 Ni zipi faida na hasara za kugomea au kususia uchaguzi wa kisiasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
watu kushinda jimbo bila upinzan hii sio sawa kwasababu huwa wanabwetek na kuanza kufany vitu vya ovyo
i hope itarekebishwa kwenye katiba mpya baada ya uchaguzi mkuu2025
 
Wananchi tunajua ccm mmetunga sheria na kanuni mbovu za uchaguzi, rekebisheni hizo kanuni za tume huru ya uchaguzi ziwe huru kweli kweli .

Mamlaka nyingine iliyo kubwa kuliko uwezo wa ccm nayo ikitumia na kutii sheria na kanuni zake tofauti na hizo zenu za kitumwa kwa ajili ya uchaguzi ujao msilaumu .
 
binafsi sifahamu,
wala sina hakika na huo ubovu unao usema kufanywa na chama unacho kisingizia kuhusu hizo sheria....

nina hakika wananchi wa Tanzania, kupitia wawakilishi wao bungeni ndio wamehuisha sheria na kanuni zitakazo tumiwa na Tume Huru ya Uchaguzi kusimamia na kuendesha uchaguzi huru, wa haki na wazi kwa mustakabali mwema wa amani ya MAMA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…