Ni zipi faida zilizopatikana kwa kufanyika kwa Arusha Land Rover Festival 2024

Ni zipi faida zilizopatikana kwa kufanyika kwa Arusha Land Rover Festival 2024

Na vijana sijui hata kama walikumbuka kuchapisha t-shirt za Land Rover wakaziuza
Au aliamka tu akasema wiki ijayo kuna parade la magari?
 
Na vijana sijui hata kama walikumbuka kuchapisha t-shirt za Land Rover wakaziuza
Au aliamka tu akasema wiki ijayo kuna parade la magari?
Tuache Roho ya chuki.
Tamasha lilitangazwa tokea Mwezi Jun yaaani miezi 4 kabla.
Kwa kifupi Land Rover zimeiingiza Tanzania kwenye rekodi za Guiness tumevunja rekodi ya Mjerumani aliyefanya the same parade kwa gari 632. Arusha zimefika Londo 1200+ .
Haters kazi kwenuuu
 
Attachments

  • IMG-20241012-WA0036.jpg
    IMG-20241012-WA0036.jpg
    45.1 KB · Views: 5
Ninajua faida ndogondogo zipo, kama biashara za Mahoteli nk. Lakini ningependa kujua ni ipi faida kubwa kwa Mkoa na Taifa kiujumla.
Kuitangaza mkoa na taifa kjumla maana mpaka BBC walikuwa wameiongelea bas pasna shaka Tz imeingia kweny recod kwa Africa na dunia kwa ujumla mitoko kama izi syo ti ulaya hata Africa wanaweza fanya
 
Mimi nimeona kumekua na faida nyingi, hizi ni baadhi
1. Kutangaza utalii wa Tanzania kupitia (Arusha)

2. Kuitangaza Tanzania, kupitia kuvunja record 3 za Guinness ya land rovers zaidi ya 1000 kukusanyika pamoja, ku park pamoja na msafara mrefu wa land rover

3. Shughuli za kiuchumi zimeingiza pato la mtu mmoja mmoja mpaka kwa Serikali, kupitia uuzaji wa mafuta diesel, petrol, chakula, hotels, usafiri, n.k

4. Tamasha limewaunganisha watu pamoja, washikadau mbalimbali networking na connection nyingi chanya zimefanyika.
 
Hakuna faida, matokeo ni upumbavu, ujinga, uwendawazimu, ukichaa, ufala, ushenzi, nk kwa kilichofanyika.

NAISHANGAA CHAMA CHANGU CCM KUTOKEMEA KILICHOFANYIKA!

God Bless Tanganyika.
 
Hakuna faida, matokeo ni upumbavu, ujinga, uwendawazimu, ukichaa, ufala, ushenzi, nk kwa kilichofanyika.

NAISHANGAA CHAMA CHANGU CCM KUTOKEMEA KILICHOFANYIKA!

God Bless Tanganyika.
Unashauri na la kizimkazi likemewe?
 
Hakuna faida, matokeo ni upumbavu, ujinga, uwendawazimu, ukichaa, ufala, ushenzi, nk kwa kilichofanyika.

NAISHANGAA CHAMA CHANGU CCM KUTOKEMEA KILICHOFANYIKA!

God Bless Tanganyika.
Pole kwa maumivu yako.
 
Back
Top Bottom