Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikulijua hilo na sina roho mbayaTuache Roho ya chuki.
Tamasha lilitangazwa tokea Mwezi Jun yaaani miezi 4 kabla.
Kwa kifupi Land Rover zimeiingiza Tanzania kwenye rekodi za Guiness tumevunja rekodi ya Mjerumani aliyefanya the same parade kwa gari 632. Arusha zimefika Londo 1200+ .
Haters kazi kwenuuu
Magari 300 pekee kuingia mbuga ya Arusha sio pesa haba.Ninajua faida ndogondogo zipo, kama biashara za Mahoteli nk. Lakini ningependa kujua ni ipi faida kubwa kwa Mkoa na Taifa kiujumla.
Land Rover wenyewe kuna kitu wamakifanya ktk kufanikisha zoezi hili ikumbukwe kwao ilikuwa big promotionSikulijua hilo na sina roho mbaya
Mimi binafsi nimeliona kwenye mitandao siku kadhaa zilizopita
Unafikiri mwenye roho mbaya anaweza kuweka idea hapa 😄 boss
Uchaguzi huwa unaona wanatangaza miaka unajua kwa nini
Muwe mnaweka vipicha picha bas za maland lover ya R
Tupe maono yako mkuu.Upumbavu wa yule failure
Ukiona hivyo hayo ndo maono yake yanapoishia
Maono ya form four failure
Sana boss tena inawezekana wao ndio wameandaa hii au UbaloziLand Rover wenyewe kuna kitu wamakifanya ktk kufanikisha zoezi hili ikumbukwe kwao ilikuwa big promotion
International coverage for boosting tourismNinajua faida ndogondogo zipo, kama biashara za Mahoteli nk. Lakini ningependa kujua ni ipi faida kubwa kwa Mkoa na Taifa kiujumla.
Mimi nimeona kumekua na faida nyingi, hizi ni baadhi
1. Kutangaza utalii wa Tanzania kupitia (Arusha)
2. Kuitangaza Tanzania, kupitia kuvunja record 3 za Guinness ya land rovers zaidi ya 1000 kukusanyika pamoja, ku park pamoja na msafara mrefu wa land rover
3. Shughuli za kiuchumi zimeingiza pato la mtu mmoja mmoja mpaka kwa Serikali, kupitia uuzaji wa mafuta diesel, petrol, chakula, hotels, usafiri, n.k
4. Tamasha limewaunganisha watu pamoja, washikadau mbalimbali networking na connection nyingi chanya zimefanyika.
Hili ni la muhimu sana sana.Kuchangamsha fikra ya kufanya mazuri zaidi,lakini pia kutoa hamasa kwa wakuu wa mikoa wengine waweze kuangalia namna Gani wanaweza kutumia fursa katika maeneo Yao kuchangamsha uchumi na maendeleo.
OK. Kwahiyo faida kubwa ni kuingia kwenye record za Guinness. Naomba kujua faida ya hii record kwetu sisi. Au ujiko tuTuache Roho ya chuki.
Tamasha lilitangazwa tokea Mwezi Jun yaaani miezi 4 kabla.
Kwa kifupi Land Rover zimeiingiza Tanzania kwenye rekodi za Guiness tumevunja rekodi ya Mjerumani aliyefanya the same parade kwa gari 632. Arusha zimefika Londo 1200+ .
Haters kazi kwenuuu
Mikoa mingine sio rahisi kufanya kama Arusha. Kwa Arusha Makonda amefanikiwa kwasababu jamaa wengi wa kule ni waelewa sana na wana uzungu fulani hivi. Mikoa mingine ukileta idea kama hii ujue UTABEZWA NA KUPIGWA MAJUNGU UKOMEKuchangamsha fikra ya kufanya mazuri zaidi,lakini pia kutoa hamasa kwa wakuu wa mikoa wengine waweze kuangalia namna Gani wanaweza kutumia fursa katika maeneo Yao kuchangamsha uchumi na maendeleo.
Wewe jamaa pambania maisha yako...ushataja faida zilizopatikana alafu unataka faida kubwaa kwani hizo landlover zilikuwa zinauzwa si wanaonyeshana alafu wananunua tuvinywaji na vyakula kwa wajasiliamali?Ninajua faida ndogondogo zipo, kama biashara za Mahoteli nk. Lakini ningependa kujua ni ipi faida kubwa kwa Mkoa na Taifa kiujumla.
Sikubaliani na Makonda kwa mambo kadhaa ila kwa hili jamaa kajitahidi.Upumbavu wa yule failure
Ukiona hivyo hayo ndo maono yake yanapoishia
Maono ya form four failure
Faida kubwa kwako ni ipi na pi?Ninajua faida ndogondogo zipo, kama biashara za Mahoteli nk. Lakini ningependa kujua ni ipi faida kubwa kwa Mkoa na Taifa kiujumla.