Gari halijahathirika lipo sawa kuendelea na safari wao walikuwa wanamtaka dereva aliyekimbia lakini dereva nae alishafika lakini hakuna kinachoendelea.Kisheria, ajali inamhusu dereva labda kama gari limeathirika kutokuweza kuendelea na safari.
Dereva pia ana haki ya kupewa dhamana.
Wa kulaumiwa kwenye dhahama hilo kwa mujibu wa maelezo yako, ni polisi ambao pengine wako ki kubrashi viatu zaidi.
Pana namba za wakuu wa polisi wa mikoa zilikuwamo humu jamvini. Maeneo hayo ni Pwani. RPC Pwani ana husika.Gari halijahathirika lipo sawa kuendelea na safari wao walikuwa wanamtaka dereva aliyekimbia lakini dereva nae alishafika lakini hakuna kinachoendelea.
Abiria wamekaa tu pale kama mizigo.
Mi ningeshuka nitafute usafiri
Msaada kwa wenye uelewa wa jambo hili.
Jamaa yangu amepanda gari la Super Feo kutoka Dar kuenda Songea.....
....bado wapo tu abiria wamekaa hapa kituoni.
....Hatupewi ushirikiano na polisi wala wamiliki wa gari.
.
Ni yeye.Jamaa yako,alafu unakuja tena kuandika ampewi ushirikiano,duh
Ni yeye.
Dhuluma zisizo uchwaraAcheni dhuluma uchwara hizo.
Dhuluma zisizo uchwarasindio hatari zaidi?